Low Key (@LowKey67964705) header
Low Key (@LowKey67964705) profile picture

Old Hip Hop 🎶 Simba SC ⚽ Arsenal the Gunners 💢 👉Stand still to the authority that respect me 👇 Humor and relience 😃

Joined February 2022
Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)Photo by Low Key (@LowKey67964705)
Laiti Kama Ningepata Nafasi ya Kumhoji Shaaban Robert Na Esther Karin Mngodo Nasema hili kwa utani, japokuwa ninamaanisha – sidhani kama kuna mwandishi yeyote ambaye nimewahi kumsoma aliyemwelezea mke wake kipenzi kwa jinsi alivyofanya Shaaban Robert. Kwa lugha ya siku hizi tunaweza kusema, ajengewe sanamu yake pale Posta! Huyu bwana alimpenda mke wake. Kumpenda huko, na kumwelezea huko kwa uzuri na uwazi kimaandishi kuna maana kubwa sana. Mwanaume anayemzungumzia mkewe kwenye kadamnasi ni wa pekee. Na tena upekee huo ni mkubwa zaidi kama atachukua kalamu na kuandika kuhusu mkewe kwa mapambo yote ya lugha, bila kujizuia. Cha kusikitisha ni kwamba mke aliyepambwa alikuwa amefariki. Pengine alipokuwa hai alipata kufurahia mashairi na barua za mumewe. Katika kitabu chake cha Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini, kilichochapishwa kwa mara ya kwanza 1971 na Mkuki na Nyota, Shaaban Robert ameambatanisha shairi aliloliita Amina, aliloandika baada ya kifo cha mke wake huyo kipenzi. Baadaye, alioa tena. Soma thechanzo.com/2024/02/29/lai…
3
11
2
25
4,104
...... Kumbe mshabiki wa Brazil / Nimeanza kumpenda Pele toka mdogo sina akili / 🎧Tunaendana - War Will ft Fatma
1
1
3
193
Congo let's go 💪
1
64
🎶 we make world go round - Nas ft The Game + Chris Brown
2
103
Wamezungumzia deliverance au lyricism ? Au appearance ?
This Post is from a suspended account. Learn more
1
1
146
Nobody know it but me - Baby Face Night getho gospel
1
47
Check ma hater wana SPY/ vile unaishi wasnitch waki testify/ Kwa wale wataokujudge ile test in life / 🎧 Msaada kwao - @onetheincredibl ft Tk Nendeze
1
3
7
293
🎶 Album ya kwanza sijamaliza ndiyo naanza/ Miyeyusho kibao mbishi naendelea kukaza / Dk 0 - Geez Mabovu ft Joh Makini.
1
6
101
A.K.A MIMI Ngweir ft Jay Moe 🎶 Mimi mimi mi mimi Kama Mimi mimi A.K.A Mimi
2
58
Naona mama analia na mi ndiye namcharazia/ Mama anakuombea sana anategemea uje kumsaidia/ Nilitakiwa niwe nimekufa but now lakini wapi/ Waganga watakushusha Mungu ananipaisha/ Niko hai kwa sababu so usintaftie sababu / Mnataka mnione hivi hivi mpaka nikiwa babu/
1
48
Morning jioni roll call mi ni dent au mjeshi ? 🎧 Maisha ya Boarding - Jay Moe ft Dully Skyes
2
85
🎶....kwa akili uzunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka kwa akili unazunguka zunguka.... Napambana ....... 🎧 Kwa akili yangu - @ramadeeofficial
1
2
222
..... 🎵Ngoja kwanza tuanze na la East Zoo / ukilicheki kwa nje liko simple tu ..... Getho langu - Ngweair
1
1
6
259
..... pembeni Taikun Ally yani shalo tina tina
1
1
10
310
Low Key retweeted
Replying to @OPPOTanzania_
Napenda kuwatakia Heri ya CHRISTMAS na mwaka mpya wanafamilia ya @OPPOTanzania_ pamoja na watanzania wote kwa ujumla. Tuendelee kuchagua kampuni bora ya OPPO kwa simu kali za bei rafiki kwa kila mtu. #CloserWithOPPO
282
1,503
202
1,634
294,049