Low Key retweeted
Laiti Kama Ningepata Nafasi ya Kumhoji Shaaban Robert
Na Esther Karin Mngodo
Nasema hili kwa utani, japokuwa ninamaanisha – sidhani kama kuna mwandishi yeyote ambaye nimewahi kumsoma aliyemwelezea mke wake kipenzi kwa jinsi alivyofanya Shaaban Robert. Kwa lugha ya siku hizi tunaweza kusema, ajengewe sanamu yake pale Posta!
Huyu bwana alimpenda mke wake. Kumpenda huko, na kumwelezea huko kwa uzuri na uwazi kimaandishi kuna maana kubwa sana. Mwanaume anayemzungumzia mkewe kwenye kadamnasi ni wa pekee. Na tena upekee huo ni mkubwa zaidi kama atachukua kalamu na kuandika kuhusu mkewe kwa mapambo yote ya lugha, bila kujizuia.
Cha kusikitisha ni kwamba mke aliyepambwa alikuwa amefariki. Pengine alipokuwa hai alipata kufurahia mashairi na barua za mumewe. Katika kitabu chake cha Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini, kilichochapishwa kwa mara ya kwanza 1971 na Mkuki na Nyota, Shaaban Robert ameambatanisha shairi aliloliita Amina, aliloandika baada ya kifo cha mke wake huyo kipenzi. Baadaye, alioa tena.
Soma thechanzo.com/2024/02/29/lai…
Low Key retweeted
Replying to @OPPOTanzania_
Napenda kuwatakia Heri ya CHRISTMAS na mwaka mpya wanafamilia ya @OPPOTanzania_ pamoja na watanzania wote kwa ujumla.
Tuendelee kuchagua kampuni bora ya OPPO kwa simu kali za bei rafiki kwa kila mtu.
#CloserWithOPPO
Low Key retweeted
Allahumma salli wa sallim alaa nabiyyinaa Muhammad🤲🏾
Allahumma salli wa sallim alaa nabiyyinaa Muhammad🤲🏾
Allahumma salli wa sallim alaa nabiyyinaa Muhammad🤲🏾
Allahumma salli wa sallim alaa nabiyyinaa Muhammad🤲🏾
Allahumma salli wa sallim alaa nabiyyinaa Muhammad🤲🏾
Low Key retweeted
Replying to @onetheincredibl
Low Key retweeted
Tunavaa machata Tu
@MomumoMaKaNTa @LugomboMaKaNTa
Low Key retweeted
Replying to @onetheincredibl
Low Key retweeted
🎶Utukufu kwa mheshimiwa Mungu/
I'm sorry Magufuri hali imezidi kuwa Ngumu/
Wanyonge wanashindana na wababe wenye nguvu,,
@NikkiZohan Mpara Magamba Kabugi
#KIGU
Low Key retweeted
Unachoma moyo maumivu hayapoi hata kwa ganzi
Washkaji wenye roho za choyo wanakuacha kambi ya simanzi
Unahisi ni uduwanzi unaishi pekeako bila ya msaada
Hawakaumbuki ulivospend wapenzi enzi una chada
Low Key retweeted
Je ni nini kilichomuua mwimbaji huyu wa wimbo wa Gangsta Paradise?
bbc.in/3m9XvPZ
Low Key retweeted
Na kwa mablaza men!
Hauwezi kazi vipi utanga'aa!
Utaenda vipi kiwanja mabinti wakuone star!
Ama mkwanja wa dingi na maza!
Kibishi kaza!
Ishi kiume !
Usiwe ukawa binti wa jamaa
One ft songa
@SwahiliKid22 @LowKey67964705
Low Key retweeted
Nataka amini ila naamini hayafai!
kwanini mtoto wa jirani asubuhi hamimini chai!
Maisha yangu yana ubora!
mwenzangu yana ubora gani!
Hata ningekua bora nani angekua bora nami!
ONE THE INCREDIBLE
@SwahiliKid22 @LowKey67964705
Low Key retweeted
"Baba aligoma kutoa talaka akiomba wamalizie nyumbani sio mahakamani na mama hakutaka"
.
"Aliandika barua ya hadithi yake,
Akisema kilichomtesa sio dhiki yake,
Bali ni uzito wa alichokifanya,
Alijiua kando ya bahari uliokotwa mwili wake"
.
Baba saivi hasikiki kabisa hivi yupo😎
Low Key retweeted
Hip Hop family drop your handle, Retweet & like tumuenzi #FazaNelly ✊👮





























