The Genius retweeted
βUKIPATA MUDA,ITEMBELEE MOROGORO,TAFADHARI.β
Alisikika Mzee mmoja baada ya kufikishwa Mafisa kwa mambi kutokea Kihonda ambako alishushwa pale stesheni SGR
The Genius retweeted
Leo nimeamka na Amani na Furaha na Energy niliyoikosa kwa siku tano.
Jana ndugu yetu @prossoff alihangahika kuhakikisha kuwa anafika Hospital ambayo Sativa yupo. Lakini cha kushangaza Prosper alivofika pale cha kwanza Sativa alihitaji mawasiliano yangu kabla ya yote. Kwa Love aliyokuwa nayo Prosper alimpa simu ndogo na pia akampa laini. Simu ilikuwa haina chaji akamwambia ukifika utai boost utawasiliana na Taivina ntampa namba ambayo ipo humu atakupigia.
Prosper akanicheck akanipa namba ambayo Sativa kaachiwa na kunambia kuwa akifika ndani ya msaa mawili matatu utampigia anataka kuongea na wewe nikasema sawa. Hiyo ilikuwa ni saa 12:02 jioni kilichonishangaza saa 12:10 jioni napata Dm kutoka kwenye account ya X ya Sativa ikiandika "My G" Binafsi niliogopa kwasababu najua mtu yupo kwenye Ambulance anawezaje kunitext mimi Twitter na hana simu. Mimi niliona siko sawa nikaomba msaada kwa Brother @TitoMagoti kwasababu yeye na brother @IAMartin_ ni watu ambao wamekuwa wakini protect kwa namna yoyote kuhakikisha nakuwa salama kwa kipindi hichi. Brother Tito akanambia its okay unaweza ukajibu hiyo message mimi nikajibu "Yes Say Something Bro" After pale ikaingia meseji nyingine kutoka kwenye account ya Sativa usiku saa 4:10 ikisema nipe namba nikapata wasiwasi zaidi kuwa hapa sasa usalama unazidi kuwa mdogo ikabidi nimcheck tena Brother Tito akani connect na Brother Martin. Martin akaniambia cha kufanya nisijibu Meseji na Pia nikilala nizime simu Asubuhi atakuja kunichukua Home.
Usiku tena saa 10:52 ilipigwa simu mara nne na namba moja sikupokea kama nilivopewa maelekezo Lastly ikaingia message kuwa Mgonjwa anataka kuongea na wew mimi ni nurse. Ikabidi nihakikishe kwa Brother Patrick kama ile namba kweli ni ya Nurse akaniambia ni yeye simu bado inaita nikapokea. Direct naambiwa ongea naye. Ile Kuongea naye kuskia Sauti yangu niliskia Kicheko kwa mara ya kwanza cha Mwanangu swali la kwanza kuuliza upo salama? Nikajibu ndio akauliza upo wapi nikwambia nipo Ghetto kwako nimepoa akasema unavoondoka beba na PC yangu kamalizie vimeo. Nikamuuliza yule aliyekuwa ananitext kwenye account yako ya X ni wewe akasema ndio ni mimi nikiwa kwenye ambulance niliomba Nurse a log in account yangu niku dm niliona nachelewa kufika ili niongee na wewe naumwa lakini wasiwasi wangu wote ulikuwa kwako pia nilipata na sekunde kama 50 hivi za ku scroll Timeline.
Nimeona Love ya watu wa X waambie nashukuru sana sana Mungu awabariki Inshaallah akipona atakuja kutoa shukrani zake za dhati.
Bado nashindwa kuelewa ni kwanini Sativa amekuwa akiwa na hofu kubwa kuhusu mimi kiasi cha kupambana kiasi hicho kupata mawasiliano yangu lakini mimi niko sawa ndugu zangu nashukuru sana uwepo wenu unannifariji.
Pokeeni Salamuza SATIVA
The Genius retweeted
Ukipata time karibu Morogoro,Mkoa unao ongoza kuwa na Waterfalls nyingi na wenye kubarikiwa ardhi ya kukubali kila zaoπππΏ
The Genius retweeted
1. Ukimtongoza akakukatalia, usimzingue na kumzushia uongo. Siyo lazima kukubaliwa naye.
2. Mcheki mara moja. Mara ya pili. Hataki kujibu. Achana naye. Usimsumbue. Hamisha kambi.
3. Usijishushe kiwango cha mwisho. Hataki kuongea, achana naye. Usifosi. Siyo mama yako huyo bablai
The Genius retweeted
Haya usiseme chimbo la kwenda na mtoto wa mama mkwe bado haujalipata(Jokes)πππΏ
Mdogo mdogo tutaelewana ila kifupi hauna sababu ya kushindwa kuitembelea Morogoro.
Wakati ni sasa,Karibu sana mji kasoroππΏ
#Morogoro #kiranja #mjikasoro
The Genius retweeted
Ukiwa kwenye NDOA
β’Kupika
β’Kufua
β’Kufanya usafi
β’Kumu handle mume
β’Sex
Ni majukumu ya NDOA hayaitaji malipo acheni kuwasikiliza feminists Hawana akili and most of them hawana NDOA,how mtu asiye na NDOA anakushauri mambo ya NDOA na unamsikiliza!?
The Genius retweeted
Replying to @ReganTesla_ @MissChelsea1221 @Happie_Thom @TillertheWorld @ajupixel @officialDrHerry @iAmLyimo @VisitTanzania1 @baloziNM @bwanampanzi @Mtabili1
Waluguru ni watu wa vilimani asili yetu so ufupi ni muhimu pmj na kuwa strong haswa β at Morogoro, Tanzania
The Genius retweeted
The Genius retweeted
Lilikamilika kujengwa 2020 lakini likafunguliwa 11 Feb 2021 na Mh Dkt Magufuli na likapewa jina la CHIFU KINGALU kwa heshima ya chifu huyo wa Morogoro.
Ujenzi wake ulighalimu Bil 17.58 na ni soko ambalo unaweza kutaka kila hitaji.
Huu mwaka usiishe bila kuja Morogoro
#morogoro β at Morogoro, Tanzania
The Genius retweeted
Showed this to my mom. She couldn't believe it. #GodisinControl #AchievingGreatness
Replying to @unkutafrica
7. Meet Uno AKA @onetheincredibl.
A Tanzanian Hiphop artist, producer and actor. Nominee Kilimanjaro Music Awards 2011 alongside Ben Pol. Having debuted in '09, his first album Soga za Mzawa sold over 3000 copies and 10000 downloads earning an award for best online distribution.
The Genius retweeted
Southern Highlands Buses, inakutakia heri ya mwaka mpya wa 2023 β¨ uwe na mafanikio katika kila jambo unalofanya. Asante sana kwa kuwa nasi. ππΏ
The Genius retweeted
Salaam! So, I been thinking... Album yangu mpya na zilizopita nataka niziuze kama NFT pia... Yeyote mwenye uelewa mzuri wa NFT naomba anicheki DM please. Naombeni RT, hii tweet imfikie muhusika. Bless. #AchievingGreatnessTheAlbum.
The Genius retweeted
Letβs retweet until it reaches the CEO of Twitter @elonmusk go !!! β at North Western, Zambia







































