Pinned Tweet
Azolla, gugu maji liligeuka mkombozi kwa wakulima, wafugaji na vijana Tanzania
Azolla inachukua siku tatu tu tangu kulimwa na inakuwa imekamilika kuvunwa na kupatiwa mifugo kama kuku, ng’ombe na nguruwe.
news.un.org/sw/story/2023/02…
Harakati zenyewe sasa
Replying to @MtBarunguza @master_plan6
Na mwanafunzi baada ya kusoma akiwezeshwa kidogo atakuwa na uwezo wa kutumia taaluma yake katika harakati za maisha. Mfano mzuri ni @iAmLyimo
"Siwezi kusema chochote nishawaambia"
0 - communication skills, mliwapika bure hawa watangazaji 😂😂
Replying to @Rydx_017
Washaprint na kuweka kichwa cha habari kuwa msanii kagoma kujibu interview 🙆♂️
Kama wewe ni Gen Z, ni salamu gani moja unaweza kutumia kwa Wakubwa, professors, maskini, matajiri au age mates wako bila kufeel umewadisrespect ?
@EliabuDanford & @ReganTesla_ nipeni comments hapo,
Mimi nilikuja kushtukia nina uwezo mdogo wa comm skills ikabidi nianze kukaza
Hiyo ni video ya jana 😂😂
Wanakupika lakini communication skills ni ngumu sana mze, replace filler words kama "aaah" "mmmh" kwa ku pause.
Hauko mwenyewe 😁😂😂
Leo nilipata nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha wataalamu wa Kompyuta nchini Kenya.
Mkutano huo umefanyika Kilifi County kuanzia tar 24 mwezi huu na unatarajiwa kumalizika kesho huku mada kuu ikiwa ni “Navigating the Era of AI and accelerating digital revolution”
Miongoni mwa vitu nilivyozungumza ni pamoja na.
- Namna serikali za Afrika zinaweza kutumia teknolojia ya AI kwenye kuboresha Sekta ya ajira na kazi.
- Namna uzimaji/ufungaji wa mitandao unavyoathiri vipato vya vijana wengi ambao chanzo chao kikuu cha mapato ni mitandao.
- Namna serikali za Afrika zinavyoweza kutumia uchumi wa kidigitali kama njia ya kupunguza tatizo la ajira.
Nashukuru wanachama wa chama cha wataalamu wa kompyuta Kenya kwa kunipa nafasi ya kushare machache ninayoamini kwa namna moja ama nyingine yanaweza kukomboa vijana wa kiafrika kwenye zama hizi za teknolojia.
Mbona mimi hamnipiki na video zangu nikizungumza, au nawezea ? 😁 btw kila kijana ili atoboe communication skills ni must 😂















