Zee BabaLao (@babalao__) header
Zee BabaLao (@babalao__) profile picture

๐—ญ๐—ฒ๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ผ, ๐—ฃ๐—ต๐—— , Zebedayo โœชInfluencer โœช Content Creator โœช

Tanzania
Joined April 2020
Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)Photo by Zee BabaLao (@babalao__)
JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI? Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:- 1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako. 2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako. 3. Una marafiki wengi ambao ni kama kupe, wapo kukutumia tu na hawachangii lolote katika maendeleo zaidi ya kujifanya ndio watu wako karibu lakini kumbe wapo kwa maslahi yao! 4.Umeweka mbele zaidi "watu watanichukuliaje" kuliko kuangalia maisha yako.Watu ndio wanakuchagulia aina ya maisha unayoishi na unajilazimisha kuishi kama wao hata kama huna uwezo huo. 5.Unaongea zaidi ya kasuku lakini vitendo hakuna.Unatamani mafanikio tu moyoni lakini huna mipango ya kuyafikia. 6.Maisha yako yote umeyaweka kwenye mitandao ya kijamii.Huna siri hata moja!Hivyo unalazimika kuishi aina ya maisha ambayo yataendelea kufanana na yale uliyoyaweka kwenye mitandao ya jamii kwa sababu ukibadilika tu watasema "umefulia" 7.Kila aliefanikiwa ni rafiki yako au utasema ni mtu wako wa karibu na unaishia kuwasifia tu na kupiga nao picha lakini hujifunzi kutokana na mafanikio yao na wala hutumii fursa hiyo ya kujuana nao. 8.Upo sahihi kila siku(you are always right). Huambiliki, hushauriki na kila wazo atakalotoa mwenzako basi si zuri ila la kwako ndio sahihi na utataka litekelezwe hilo hilo. Mwisho wa siku kila mtu anakukimbia hakuna wa kukuambia "hapa umekosea" kwa sababu ya ujuaji wako. 9.Hujifunzi maarifa mapya.Mara ya mwisho kusoma kitabu ilikuwa ni "Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe" Tena ni kwa sababu ilikuwa ni kwa ajili ya kujibia mtihani. Hujifunzi "life skills" wala ujuzi mwingine. 10.Unazurura mno mitandaoni bila faida. Kwako wewe intaneti ni kwa ajili ya kuchati tu na kufuatilia habari za mjini ambazo tangu umeanza kuzifuatilia hujawahi kuingiza hata shilingi moja, zaidi unateketeza tu hela yako ya vocha. ISHUSHE hiyo mizigo kama kweli inahitaji kusonga mbele!
83
126
4
444
225,625
Alonso Out!
5
3,037
Zee BabaLao retweeted
3
2
412
Zee BabaLao retweeted
Ziara ya Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi, Mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi na Pwani.
2
4
19
1,442
MAUZO YA BIDHAA KUTOKA TANZANIA KWA NCHI ZA SADC YAONGEZEKA KWA ASILIMIA 172% Thamani ya mauzo ya bidhaa za Tanzania katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imeongezeka kutoka Dola bilioni 1.30 mwaka 2021 hadi Dola bilioni 3.55 mwaka 2025, sawa na ongezeko la takribani asilimia 172 ndani ya miaka minne. Afrika Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimeendelea kuwa miongoni mwa masoko makuu ya bidhaa za Tanzania, hatua inayoonesha kuimarika kwa biashara ya kikanda, ushindani wa bidhaa za ndani na kuongezeka kwa fursa za kiuchumi kwa wazalishaji na wafanyabiashara wa Tanzania.
7
9
271
Zee BabaLao retweeted
MBARAWA NA MUSSA WAUNGANISHA NGUVU KUHAKIKISHA MRADI WA SGR UNAKAMILIKA KWA WAKATI Waziri wa fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, amewahakikishia Watanzania kuwa Serikali iko tayari kuhakikisha changamoto zote za kifedha na kimkataba zinasimamiwa kikamilifu ili kuzuia kuchelewa kwa mradi huo kwa mradi wa SGR kipande cha 3 &4 Makutopora - Tabora na Tabora - Isaka). Mhe. Balozi Omar, ametoa hakikisho hilo Novemba 07, 2026 katika eneo Nzubuka, akikagua maendeleo ya mradi wa SGR katika kipande cha 3&4, ambapo pamoja na mengine amesisitiza juala la mazingira na jamii. "Lengo kuu la Serikali ni kuhakikisha vipande vyote vya reli vinakamilika kwa ulinganifu bila kuacha pengo linaloweza kukwaza dhumuni kuu la kimkakati la mradi huo. Nasisitiza mradi uende kwa kasi ili kufidia muda uliopotea kufuatia sababu zilizoelezwa aidha Serikali haitakuwa tayari kusikia wala kupokea visingizio kukwamisha mradi huo vikiwemo vya hali ya hewa" amesisitiza Mhe. Balozi Omar. Katika hatua nyingine, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali ililazimika kutafuta suluhu ya changamoto ya kasi ndogo ya mkandarasi mkuu katika kipande cha 3&4 ambaye tangu kukabidhiwa eneo la mradi mwaka 2022 hadi mwaka 2024 alikuwa amefikia utekelezaji wa takribani asilimia tano. Aidha, amesema changamoto ya fedha zinazotolewa kwa mkandarasi mkuu kutofika kwa wakati eneo la mradi imeifanya TRC kuingilia kati kwa kununua vifaa muhimu ikiwemo mafuta, saruji na kokoto ili kuhakikisha kazi zinaendelea. "Tunakuja na mpango madhubuti kuhakikisha yale yaliyojitokeza na kusababisha mradi huo kipande cha 3&4 kusuasua, hayajitokezi tena" alikazia Prof Mbarawa.
4
1
360

15
6
145
9,049
Zee BabaLao retweeted
1
1
10
963
Hakuna mambo ya "Mwakani", zawadi ziko hapa sasa hivi ๐ŸŽ Kila unachonunua msimu huu wa sikukuu, hakikisha unalipa kwa TemboCard VISA. Yaani sio tu kwamba unafanya manunuzi kwa urahisi na usalama, bali pia unajiongezea nafasi ya kuondoka na Mkwanja kila wiki, kila mwezi mpaka mwisho wa mwaka! #kilamtuapatenatembocardvisa
1
27
32
846
Kuna muda uongea pointi sana wewe jamaa
Bila kupepesa macho, viongozi wa Yanga mkithubutu kutuletea huyu kocha, navunja kadi yangu ya uanachama, na jezi zote nilizonunua kwa misimu yote nazichoma moto! Msituletee mazoea, Yanga si sehemu ya kufanyia majaribio!
1
1
19
4,644
Zee BabaLao retweeted
Huyu Ni Tapeli Tu
๐Œ๐Ž๐‘๐„ ๐ƒ๐„๐“๐€๐ˆ๐‹๐’! ๐Ÿ’š Yanga players have already been informed of Fadlu Davidsโ€™ imminent arrival. During this international break, Yanga will travel to Zanzibar for a short training camp to prepare for their upcoming matches and the CAF Champions League group stage. Fadlu Davids will lead the team to Zanzibar on Sunday. A new era begins at Jangwani! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mashabiki wa Yanga, mnajisikiaje kuhusu sura hii mpya? ๐Ÿ‘€ #AfricanFootball #Yanga
9
1
1
32
3,197