Emmanuel DollaDolla Minde Eddm (@MindeEddm) header
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm (@MindeEddm) profile picture

Zab 23:1

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2021
Mungu wa matajiri ndiye Mungu wa masikini pia. Kila mmoja ana hazina yake kwa wakati wake. Usimdharau mtu kwa hali yake, maana baraka za Mungu hazina mipaka wala hazifanani kwa kila mtu. Kumbuka: Kila mtu ana majaliwa yake; mshukuru Mungu kwa ulicho nacho na uheshimu cha mwenzako
1
2
37
“Wivu na chuki huzaliwa pale mtu anaposhindwa kukubali kuwa kila mmoja ana njia, kipaji na majaliwa yake. Maisha si mashindano ya kufanana, bali ni safari ya kuheshimiana na kuthamini tofauti zetu.”
1
9
140
“Kama tunavyoungana kwenda kumwabudu na kumsifu Mungu, tuungane pia kwa matendo mema, upendo, heshima na unyenyekevu. Maana ibada ya kweli haionekani kwa maneno ya midomo pekee, bali pia kwa matendo ya moyo. Mungu apendezwe na tunachosema na tunachotenda.” 🙏
2
4
7
130
Mzazi ana wajibu wa kushauri, si kulazimisha. Mtoto anapokuwa mtu mzima, anahitaji kupewa nafasi ya kufanya maamuzi ya maisha yake, ikiwemo kuchagua mwenza wa ndoa. Unaweza usimpende anayempenda lakini heshimu uamuzi wake. Upendo wa mzazi haupaswi kuwa chanzo cha msongo wa mawazo
2
95
“Pombe haipaswi kukuondolea heshima, akili na utu wako. Kunywa kwa kiasi, jitambue na usisahau kuwa maisha yako yana thamani kuliko starehe ya muda mfupi.”
1
10
188
“Usimdharau wala kumchukulia mtu poa. Kila mtu ana vita vyake, siri zake na kurasa za maisha anazozisoma kimya kimya. Usihukumu maisha ya mtu kwa unachokiona leo, maana hujui kesho yake Mungu ameandika nini.”
2
2
1
8
149
“Mwanaume mwenye hekima hawezi kuipa kipaumbele starehe ya nje huku familia yake ikiteseka; maana heshima ya mwanaume huanzia nyumbani kwake.”
1
3
50
“Ni heri uonekane mjinga kwa kusimamia ukweli, kuliko uonekane mjanja kwa kufuata ujinga wa wengi.” — Hekima ni kuwa na msimamo, hata kama wengi hawakuelewi.
4
55
“Mtu anayekupenda kweli hatakuangalia ukijiharibu kimya kimya. Atakayekukosoa kwa nia njema si adui yako, bali anaweza kuwa ndiye anayekuokoa. Jifunze kupokea ushauri, maana si kila anayekukosoa anakuchukia.”
1
48
Usipoteze muda wako kwa watu wasiothamini uwepo wako. Maisha ni mafupi, muda ni hazina; tumia kwa wanaokupa thamani, si wanaokupotezea maisha.”
2
6
9
178
Mapenzi yasipokuwa na mipaka ya umri, heshima na maadili, hugeuka kuwa chanzo cha kuharibu maisha badala ya kuyajenga."
4
54
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweeted
Ukimuelewa mtu kwa matendo yake, huwezi kudanganywa na maneno yake.
2
12
28
351
Usimdharau mtu anayekutazama kimya wakati unafanya ujinga ukidhani wewe ndiye mjanja. Wakati mwingine si kwamba hajakuelewa, bali ameamua kukuacha uendelee kujifunua kupitia matendo yako. Akili haipigi kelele, na hekima haihitaji kubishana na upumbavu.”
3
82
Mwanamke mwenye hekima hamdhalilishi mwanaume kwa matusi. Usipowaheshimu wanaume wote, usishangae siku ukakosa heshima unayoihitaji. Tabia mbaya haina jinsia.” Hekima haipimwi kwa maneno makali, bali kwa heshima na busara.
2
4
10
210
Siogopi kuwa mpweke nitakapofika kileleni, kwa sababu hata nilipokuwa chini sikuwa na wengi wa kunishika mkono. Nimejifunza kutembea peke yangu, kuamini ndoto zangu na kumtegemea Mungu.”
4
11
179
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweeted
Acha kujieleza kwa watu ambao tayari wameamua kuwa wewe ndiye tatizo. Wanahitaji uwe umevunjika, kuliko wanavyohitaji ukweli.
6
18
472
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweeted
Kila unapoona viasharia vya mafanikio, wewe jua kuna gharama imelipwa.
12
51
3
369
9,162
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweeted
Kwa iyo akiwa anataka umkopeshe pesa na wewe hauna ndio anakuita fake friend... wanetu pesa ngumu kama huna me natoa wapi?
1
3
22
526
Emmanuel DollaDolla Minde Eddm retweeted
Ukweli unaotisha na kuogopesha ni kuwa utajiri mkubwa unahitaji nzito na ngumu kufanya maamuzi yasiyo ya kawaida kufika juu
1
8
28
409