PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn) header
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn) profile picture

Harness the power of young people in managing development; 1.Leadership and citizenship 2. Economics. 3.Healthy. 4. Sports

KIBAHA-MWENDAPOLE...0745253417
Joined October 2019
Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)Photo by PWANI YOUTH NETWORK (PYN) (@PwaniPyn)
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Effective Networking and Participation 1: Be people centered 2: Meaningful social media engagement 3: Leadership branding 4: Team Building 5: Volunteering 6: Get Mentored 7: Have a positive attitude always #KongamanoLaViongoziVijana #YouthParticipationAndNetworking
4
4
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Youth leaders conference on effective Networking and participation in public life. #KongamanoLaViongoziVijana #YouthParticipationAndNetworking
2
4
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Vijana wanatakiwa kujitokeza Sana kwa wingi katika mambo ya uongozi kuliko kusubiri kushirikishwa. Asasi za vijana zikae pamoja ili kujumuisha mawazo na kupata muafaka wa maswala ya vijana " Dominic Nduguru #KongamanoLaViongoziVijana #YouthParticipationAndNetworking
3
3
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Taifa lolote ambalo linapuuza au kuwasahau vijana wake lijue linafanya hivyo kwa ajili ya anguko lake siku za usoni. Hivyo ni vema tuwekeze kwenye juhudi za kuwaandaa vijana kutimiza wajibu wao" @IlundeIsrael #KongamanoLaViongoziVijana #YouthParticipationAndNetworking
3
5
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Kwa idadi yao na kwa kutegemewa kuwa ndio nguvu kazi kuu ya taifa, vijana ndio wanatarajiwa kuongoza ujenzi wa uchumi wa jamii zao na taifa, kushiriki kwenye vyombo vya maamuzi na michakato yote ya kidemokrasia #KongamanoLaViongoziVijana #YouthParticipationAndNetworking
2
2
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Kimsingi ni kwamba idadi ya vijana ndio inayoongoza kwa ukubwa ukilinganisha na makundi mengine nchini na hivyo kufanya nguvu kazi ya taifa kwa 68% " @IlundeIsrael #KongamanoLaViongoziVijana #YouthParticipationAndNetworking
1
2
6
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Ushiriki ulenge makundi yote ya vijana katika kutengeneza sera ambazo zitalenga mambo yanayowahusu na kuhamasisha ushiriki wao kwenye sera mbalimbali nchini " Dominic Nduguru #KongamanoLaViongoziVijana #YouthParticipationAndNetworking
3
3
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Karibu kwenye ukurasa wetu rasmi wa twitter ili kupata taarifa zinazofanywa na vijana wa @PwaniPyn ndani na nje ya PWANI ambazo zinazogusa maeneo ya makuu manne; 1.UCHUMI. 2.UONGOZI NA URAIA. 3.MICHEZO NA 4.AFYA. #HabariZavijana
3
3
8
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Picha ya pamoja ya washiriki wa kikao cha kuhitimisha mradi wa KIJANA WAJIBIKA uliokuwa ukisimamiwa na @SautiyaVijana na @PwaniPyn ikiashiria kumalizika kwa kikao hikoo.... #KijanaWajibika
1
4
10
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA, tunawataarifu Wanachama wote na viongozi wa JUKWAA kuwa siku ya Jumamosi tarehe 9/11/2019 tutakuwa na Kikao Cha pamoja kwaajili ya kuandaa KATIBA ya JUKWAA letu baadhi ya mada nyinginezo. @SautiyaVijana @PwaniPyn #Ushirikishwaji
1
3
1
12
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Leo tarehe 22/11 @YouthPartnersh3 kwa kushirikiana na @PwaniPyn wanaendesha mdahalo unaolenga kuelezea Umuhimu wa ubia Kati ya Asasi za kiraia na serikali katika kuleta maendeleo kwenye Jamii. #KaziZaAZAKI
1
6
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
"Tunajua Kuna Faida za kuwa na ubia Kati ya serikali na Asasi za kiraia Tanzania" Fredy mtei Mwenyekiti @PwaniPyn
1
4
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Baadhi ya washiriki kutoka @YouthPartnersh3 na @PwaniPyn na maeneo mengine wakifuatilia mdahalo katika ukumbi wa KCC. #TujueUmuhimuWaAZAKI
1
5
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Mwenyekiti wa @PwaniPyn ndugu Fredy Mtei akijibu maswali ya washiriki wa mdahalo na pia kutoa maoni kuhusu umuhimu wa Vijana kushirikiana na AZAKI na serikali katika kuleta maendeleo katika jamii. #KaziZaAZAKI
2
6
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
@PwaniPyn inampongeza Mkuu wa Mkoa wa PWANI, Ndugu Evarist Ndikilo kwa kupata kikombe Cha ushindi wa pili kwa uandikishaji wa wananchi kwa 96%kwenye daftari la wapiga kura la Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019. #Tunampongeza. @SautiyaVijana
1
3
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Pwani Youth Network (PYN) Harness the power of youth in providing education and managing development in 1. Citizenship and Leadership 2. Economics and Plans 3. Healthy 4. Arts and Sports @PwaniPyn
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Kipaumbele chako kama Kijana mpaka sasa ni kipi?? @ElimikaWikiendi @JukwaaM @PwaniPyn @SautiyaVijana – at Dar es Salaam, Tanzania
50%Ajira
50%Afya
2 votes • Final results
2
1
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Mambo Vipi, Hii si ya Kukosa. Asasi ya Dira ya Vijana Tanzania TYVA imeandaa mdahalo maalumu siku ya Alhamisi 30/4/2020 kuanzia saa 06:00 Mchana hadi 08:00 Mchana kupitia Mtandao wa ZOOM. MADA "Athari za Ugonjwa wa #COVID19 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania" #DiraYaVijanaTz
8
14
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
Jikinge Na Wakinge wengine dhidi ya Maambuzi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona. #EpukaCorona #StaySafeStayHome #Covid_19
21
34
PWANI YOUTH NETWORK (PYN) retweeted
1/2HAKIKI TAARIFA ZA KADI YAKO YA MPIGA KURA •Bonyeza *152*00# •Chagua namba9 uchaguzi mkuu •Chagua namba1 uhakiki taarifa zampiga kura •Ingiza namba za kadi ya mpiga kura,ziko 12 ingiza zote bila kuweka herufi T ya kwanza #JiandikisheNEC #KijanaJiandikishe #HakikiTaarifaNEC
2
21
1
32