Pinned Tweet
Binafsi twita nakujaga kurefresh mind sijawai kua siriazi na huu mtandao we ukinichukulia siriazi humu we utajua mwenyewe.
simo_northern47 retweeted
We maku nini?! Yaani niko busy unataka tuongee, nisitafute hela? Enda ukienda๐ฎ
simo_northern47 retweeted
Mama kama huyu angetamani kuwa na mwanae wanafurahi lakini waliuchukua uhai wa mtoto wake kikatiri sana ๐
Imani yangu ipo siku wote waliohusika watalipia damu za watanganyika ๐
Sitasahau #Mo29
simo_northern47 retweeted
Hili jua lilivyo kali kama tanuru namuonea huruma mtu alovaa nguo nyeusi๐ญ
simo_northern47 retweeted
Mwanetu Daudi mwili ulionekana mitandaoni mochwari hakupatikana tulizika nguo fresh wanetu poa sana๐
simo_northern47 retweeted
Tangu asubuhi mmeona wenyewe hakuna media wala TV yoyote ya bongo iliyothubutu hata kuchapisha kumbukizi ya 29/10 ๐๏ธ๐๏ธ ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ
Ipo siku wazee ๐
simo_northern47 retweeted
29.10.2025๐
Ni siku ambayo imenifanya nichukie kuzaliwa Africa.
REST IN PEACE NDUGU ZETU WOTE MLIOPOTEZA MAISHA SIKU ILE, we shall meet in heaven. ๐
simo_northern47 retweeted
Na kama nimekutukana leo, am not sorry. Huwezi elewa kama hukuwa na mtu wa karibu aliyeguswa ile 29/ Oct mwaka jana. Tunaishi na maumivu.
Iko siku MUNGU atalipa, ata tusipokuwepo atalipa kwa ajili ya vizazi vyetu.
Mwanangu Masanga aliacha mtoto mdogo sana๐ฅน๐ฅน
#TBThursday Ni mwaka sasa tangu ndugu zetu wengi walipotutoka kwenye harakati za kudai haki
Mungu azidi kuwalaza mahali pena peponi ๐๐๐
simo_northern47 retweeted
I wish you could be here Mama, to see how far your Son has come. ๐ฅน
R.I.P Mama. You will forever remain in our Hearts ๐ซ๐๐๏ธ
simo_northern47 retweeted
Chura anauliza wewe huombolezi? Au biashara yako haichagui nyakati?
unavailable
simo_northern47 retweeted
Hivi wanyama nao wana celebrity ambae ndo kioo Chao cha jamii au ndege ambae anaimba kuliko wote.
simo_northern47 retweeted
Kwa siku kama ya leo kweli mtu unahadaika na propaganda za Mangungu sijui Simba. Aah hii nchi hapana๐๐
Natokea posta muda huu Mabibo sehemu gani tuje kukupa salam kumamalamamakoooo























