Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
TPDC 2026 || #HaflaUtiajiSaini
.
Moja ya Nukuu muhimu kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Dkt. James Mataragio.
.
Kauli hiyo ameitoa katika Hafla ya Utiaji Saini wa Leseni za Utafutaji wa Mafuta na Gesi vitalu vya Mnazi Bay North, West Songosongo, Eyasi Wembere na Lindi - Mtwara iliyofanyika jana Oktoba 28, 2026 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC).
#TPDCTunaboreshaMaishaNaKuwezeshaMaendeleo
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
President Museveni’s Official Visit: Uganda and Tanzania Sign MoU to Develop Tanga Regional Energy Hub
On 6 August 2026, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, held official bilateral talks with H.E. Gen. Yoweri Kaguta Museveni, President of the Republic of Uganda, underscoring the enduring strategic partnership and shared commitment of the two nations to deepening bilateral cooperation for mutual prosperity.
The two Heads of State reviewed progress and explored new opportunities for collaboration in key sectors, including trade, energy, infrastructure, investment, regional integration, and cross-border development, reaffirming their resolve to strengthen economic ties and advance sustainable development.
A key highlight of the engagement was witnessing the signing of a Memorandum of Understanding (MoU) between the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), Uganda National Oil Company Limited (UNOC), and Vitol Bahrain EC on the proposed development of Tanga as a Regional Energy Hub in Tanzania—an important milestone in enhancing regional energy security, promoting value addition, and accelerating East Africa’s economic integration.
#Tanzania #Uganda #SamiaSuluhuHassan #YoweriMuseveni #RegionalIntegration #Energy #TPDC #UNOC #TangaEnergyHub
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) yaridhishwa na hatua zilizofikiwa za utekelezaji wa ujenzi wa Mradi wa EACOP mara baada ya kuhitimisha ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kuhifadhi mafuta cha Chongoleani jijini Tanga.
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor inayoshughulikia utafiti na uzalishaji wa Mafuta na Gesi kimataifa Bw. Al Cook (wa sita kutoka Kushoto) ambaye aliambatana na ujumbe wake @venusnyota
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
The shareholders (@TotalEnergiesUG, @UNOC_UG, @CNOOCUgandaLtd & @TPDCTZ) decided to invest US$120M in a solar project to power the pipeline, says @MuliisaPeter.
There will be four solar farms on the route. This alternative will have no impact on the environment.
#SupportEACOP
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Nimefurahi kushuhudia utiaji saini makubaliano ya awali ya mkataba wa nchi hodhi (HGA) wa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia kati ya nchi yetu na wawekezaji. Shilingi Trilioni 70 zitakazowekezwa zitaleta mapinduzi makubwa ya kukuza uchumi wetu na ustawi wa Watanzania.
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Happening Now
🇹🇿 Tanzania Energy Symposium, at Jumeirah Beach Hotel in Dubai, UAE
Minister of Energy Hon. January Makamba has organised a ‘Tanzania Energy Symposium’, that is taking place today. The theme of the Symposium is “Promoting Tanzania as East Africa’s Energy Hub”.
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
#TANZANIA: The Government and the East African Crude Oil Pipeline (EACOP) have officially signed the Host Government Agreement (HGA) today.
This will pave the way for the project Final Investment Decision (FID) & the construction of the pipeline from Hoima-Uganda to Tanga.
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Replying to @Wakusnooz @TPDCTZ
Naona moja ya wanufaika wa Kwanza ni Shule yangu Mtwara Technical Secondary School.
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Safi Awamu Ya Kwanza Nyumba 125 Mtwara kuanza kutumia Gesi Asilia kwa matumizi Ya Nyumbani.
Kudos @TPDCTZ
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
GESI NA TIJA YAKE KWENYE VIWANDA NCHINI
@TPDCTZ #dailynewsdigitalupdates
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Mhandisi Eva Swilla wa TPDC akitoa maelezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA (kushoto) kuhusu mita ya gesi asilia inavyofanya kazi kwenye moja ya nyumba 125 zinazotumia gesi hiyo mkoani Mtwara.
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
#Ukaguzi Miundombinu ya Gesi Asilia
Mhandisi Emmanuel Gilbert wa TPDC ( kulia) akitoa maelezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Mhandisi Godfrey Chibulunje (wa pili kulia), wakati EWURA ilipofanya ukaguzi wa miundombinu ya gesi asilia mkoani Mtwara leo 16/9/2020.
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akipata maelezo ya namna mita ya kupima gesi asilia kwa matumizi ya nyumbani,inayofanya kazi, kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa shirika la Maendeleo ya Petroli nchini( TPDC)
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
A group of Independent Oil & Gas Companies (IOCs)currently operating in the Country, in partnership with TPDC and with the assistance of TPSF jointly support the initiative led by His Excellency the President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. John Magufuli
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
UNOC CEO Ms. Proscovia Nabbanja met with the MD Tanzania Petroleum Development Corporation Dr. James Mataragio 2 discuss progress of the E.AF Oil Pipeline & cooperation in upstream operations.This was during talks on the sidelines of the Russia Africa Summit.
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
1/2
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imeanza kufanya utafiti wa mafuta ya petroli katika bonde la Eyasi Wembere,Utafiti huu unahusisha uchorongaji wa visima vitatu vya utafiti vyenye urefu wa mita 300 kila kimoja na hivyo kufanya jumla ya mita 900
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Kama unaishi karibu na bomba la gesi na ukasikia sauti zisizo za kawaida kutoka kwenye eneo lenye bomba, kaa mbali na toa taarifa PAET kwa kupiga 0784 123 004 haraka iwezekanavyo. Hii iinaashiria uvujaji wa gesi ! @PAETANZANIA.
#PAETanzania #UsalamaKwanza
Tanzania Petroleum Development Corporation retweeted
Kufanya shughuli zozote za uchimbaji karibu na eneo la bomba la gesi ni hatari! Chukua tahadhari, angalia kama kuna alama ya njano kabla ya kufanya shughuli zinazo husiana na uchimbaji.
Piga 0784 123 004! @PAETANZANIA.
#PAETanzania #UsalamaKwanza















































