MMUST WEB3 retweeted
Naona Binance wameanza upuz ya PayPal ya ku freeze kichele ya freelancer ati attach proof and source of funds.
Maumbwa
Kuna dem ananiuliza mbona niliacha kumchatisha,,hata kama ni wewe utachat aje na mtu anajibu texts after 28hrs latest,ukimtext Sahi anajibu on Tuesday so basically nikianza story Leo namaliza Dec ju ya ujinga yake na najua anakuaga online 23hrs daily..heri ikae😅
































