Savo 👟 retweeted
Guys nikona form hapa nataka watu tano Dm wenye hawajakula lunch mniambie nani amewatuma msikule
Savo 👟 retweeted
Niko na playlist zangu nimepanga kwa flash disk 😂😂💔 ukianza kuniuliza link nakuambia ilikam na system 😂😂🤣
Savo 👟 retweeted
Heri dem aniambie "You're too young for me" kuliko aniambie " you're like a brother to me"
Savo 👟 retweeted
Heartbreak twitter huwa wanategea mtu aachwe alafu wafufue tweets zake akiwa happy. Quotes zinakuanga zimejaa "Na sai" "imepenya/inapenya". Mnakuanga aje walaii😭

































