UNAHITAJI MAHINDI SAFI?
Karibu Songea upakie mahindi safi kwa wingi!
Kiasi kilichopo: Tani 6,000
Bei: Tsh 590 kwa kilo (juu ya gari).
๐ Mahali: Songea, Ruvuma.
๐ PIGA SIMU AU WHATSAPP:
0762807278
โ
Karibu kwa wanunuzi wa jumla na wafanyabiashara.
SONGEA โ MAHINDI SAFI, BEI YA KUVUTIA!
151
Thomas-Josephat retweeted
Morogoro ni kubwa kuliko Tanzania.
#VisitMorogoro โ at Morogoro, Tanzania
Replying to @ThomasJosephat3
Hii zana siyo ya kudharau inawapa utajiri vijana huko usukumani
Ukiachana na trekta hii pia ni mojawapo ya zana bora ya kilimo na imekuwa ikifanya vizuri sana tangu enzi na enzi.
1
2
181
Thomas-Josephat retweeted
Ni wakati wa mavuno
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
@peterwangui426
Thomas-Josephat retweeted
Replying to @ThomasJosephat3
Aamiin ๐คฒ Mungu atujalie riziki njema, afya na uwezo wa kutimiza yale mema tunayoyatamani. Na kila tunachokiomba kiwe na kheri katika maisha yetu.
Thomas-Josephat retweeted
Replying to @ThomasJosephat3
Taifa lisilothamini kilimo linacheza na msingi wa maisha yake.
Thomas-Josephat retweeted
Na kibaya zaidi, mkulima hawezi kusimamisha msimu akisubiri mbolea ipatikane. Muda wa kupanda ukipita, madhara yake yanaweza kuwa makubwa kuliko hata gharama ya mbolea yenyewe. โ at Malawi
Thomas-Josephat retweeted
Kilimo hakiwezi kuwa uti wa mgongo wa uchumi kama mkulima kila msimu anaanza kwa kupambana na upatikanaji na bei ya pembejeo. โ at Malawi
Tumezoea kila msimu changamoto ya mbolea kuwa janga kwa wakulima, lakini msimu huu hali inaonekana kuwa mbaya zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Wakulima tuseme kwa nani?
Nani atasimama kutusemea?
Na muhimu zaidi, nani atatatua tatizo hili?
#Wakulima
Tumezoea kila msimu changamoto ya mbolea kuwa janga kwa wakulima, lakini msimu huu hali inaonekana kuwa mbaya zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Wakulima tuseme kwa nani?
Nani atasimama kutusemea?
Na muhimu zaidi, nani atatatua tatizo hili?
#Wakulima





































