MSB (@masuba____) header
MSB (@masuba____) profile picture

BissTips/Land opportunist🚜/Fieldbusiness/ Liverpool/GW fans Am PROUD to be farmer legend 🌾🌾🌾 Be U handle ur ambitions🤫

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2026
Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)
Good morning wagonga ulimbo, Mvinyo mwekundu unapatikana. Lita moja ni elfu kumi tu. Mawasiliano:0625263010 Tupo live k/koo kuanzia saa kumi jioni📌📍
4
23
2
27
653
Fadlu katili sana poss ya 70% on target 6+
"Leo hatukuwa na Performance nzuri, muhimu tumepata magoli mawili na clean sheet, bado tuna kazi kubwa ya kufanya" 🎙️ Fadlu Davids - Kocha Mkuu wa Yanga.
2
Hua unaangalia ugundue nini?
Hivi huwa mnajirekodi video za ngono kugundua nini?
4
Maajabu kwenye soka hayawezi kuisha wakuu Moanzu na kuimbwa kote kule pamoja na kucheza dakika kibao ana goli 04 Toure dakika chache maneno machache goli 04 Always fact speaks it self
9
11
3
76
4,087
Junk ana kitu mbeleni
2
What's in store for you this Matchweek 👀
79
941
69
9,171
281,165
Janja ameiva ameacha ubinafsi
1
Janja ana utajiri chuki
2
Hii ni reli? maana humu njaa ya kila mtu
Yanga wanampa GSM 50% milele!! yaani hadi vitukuu vya GSM vitakuwa walimiliki wa ule uwanja Allianz na Emirates ni mkataba wa majina hawajapewa umiliki! Real Madrid ni mkopo wanaulipa taratibu ukiisha uwanja unarudi kwa wanachama
1
Huyu kuna watu wanamwita kaka
Mimi nachojua ni kuwa pale Jangwani hakuna uwanja utajengwa pale. Hizi zote ni siasa tuu.
3
Wamakonde wanaamimi airtel money🙌 yaani hata kama ana buku 3 za nauli kesho ataweka kwenye airtel money atoe kesho.
2
Hizi familia za kibongo ukiwa kimya huombi msaada wala kulia matatizo kwa ndg wanasema umejipata, Ukiwa unawalilia kuomba msaada wanasema mvivu.
2
Ugumu wa maaisha unaletwa na matarajio makubwa.
1
Wozaa
NO MORE INTERNATIONAL BREAKS UNTIL MARCH
3
Mindset za vijana walio wengi ‘‘Nimeajiriwa ama nitaajiriwa ili kutafuta mtaji 'then' nitaenda kujiajiri” Huwa najiuliza kichwani hawajui biashara sio 'hit and win' kuna kuanguka mara nyingi kabla ya kutoka. Je, ukikaa ajirani miaka 5 au 10 kisha ukapata huo mtaji na
2
10
1
49
3,651
I think Microsoft Excel should be taught across all school levels as a MANDATORY course/subject, pia computer skills
7
20
2
117
3,234
Habari zenu ndugu zangu...
3
11
17
453
Si kila unachofanya kitakupa mafanikio, Punguza matarajio makubwa.
1
1
MNENE wa kilimo kipimo cha kwanza cha utendaji wake ilikua mbolea za ruzuku, Amefeli pakubwa sana na ndiyo awamu yake ya kwanza tu, Mbolea bei juu na pia hazipatikani kabisa, Mbaya zaidi zile mbolea pendwa na muhimu ndio hakuna kabisa madukani .
1
4
Siku imeenda kama hukuokota chochote kubali matokeo kesho nayo ni siku utapambania.
2
29