MSB (@masuba____) header
MSB (@masuba____) profile picture

BissTips/Land opportunist🚜/Fieldbusiness/ Liverpool/GW fans Am PROUD to be farmer legend 🌾🌾🌾 Be U handle ur ambitions🤫

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2026
Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)Photo by MSB (@masuba____)
Good morning wagonga ulimbo, Mvinyo mwekundu unapatikana. Lita moja ni elfu kumi tu. Mawasiliano:0625263010 Tupo live k/koo kuanzia saa kumi jioni📌📍
4
23
2
27
653
Maajabu kwenye soka hayawezi kuisha wakuu Moanzu na kuimbwa kote kule pamoja na kucheza dakika kibao ana goli 04 Toure dakika chache maneno machache goli 04 Always fact speaks it self
9
11
3
76
4,090
What's in store for you this Matchweek 👀
79
941
69
9,171
281,270
Mindset za vijana walio wengi ‘‘Nimeajiriwa ama nitaajiriwa ili kutafuta mtaji 'then' nitaenda kujiajiri” Huwa najiuliza kichwani hawajui biashara sio 'hit and win' kuna kuanguka mara nyingi kabla ya kutoka. Je, ukikaa ajirani miaka 5 au 10 kisha ukapata huo mtaji na
2
10
1
49
3,653
I think Microsoft Excel should be taught across all school levels as a MANDATORY course/subject, pia computer skills
7
20
2
117
3,235
Habari zenu ndugu zangu...
3
11
17
453
Good morning watu wa Mungu 🙏 HDMI za 5M zinapatikani ofisini kwetu Iringa Town 📍
12
37
2
38
921
🚨 Manchester United intend to relieve Michael Carrick of duties. #MUFC say no final decision & nothing set in stone but work undertaken on replacements + multiple sources anticipate change before Liverpool. W/ @lauriewhitwell @AdamCrafton_ @TheAthleticFC nytimes.com/athletic/7768165…
3,807
12,506
7,634
89,429
8,423,118
Mungu Baba bariki na wa mitandao mingine sasa , Hawa Azampesa watatuua kwa mvua ya maofa🙌🏾 Hivi hawapati hasara kweli maana ofa lukuki sana🙌🏾
2
8
32
847
MSB retweeted
Usitumie maisha yako yote kutafuta vitu vinavyokufanya uonekane tajiri mbele za watu, huku ukisahau vitu vinavyokufanya uwe tajiri ndani ya moyo wako.
2
28
1,224
Siwezi achana na mtu kiupoleupole lazima nimvuruge na hapo nitakua nimeshinda hata nimuwaze vipi, nikikumbuka vurugu nilizomfanyia, siwezi mtafuta tena 😅.
16
34
1
57
1,479
Ulemavu mwingine wa akili ni pamoja na wewe kujihesabia haki na kujiona uko sahihi kuliko wengine hili hata Bwana Yesu mwenyewe alikuwa anazinesa sana na mafarisayo hadi wakatii.📍
6
9
49
879
Pigieni simu wapenzi wenu sasa maana wamesha rudishwa nyumbani baada kutumika weekend nzima
3
13
27
624
Kama unaweza kulala bila kutumia dawa, unaamka bila maumivu yoyote, unatembea bila kuhitaji msaada wa mtu mwingine, na unakula na kunywa chochote unachotaka, basi daima sema: "Alhamdu lillah".
2
10
35
741
Asilimia Kubwa Ya Binadamu unao cheka nao Hawapendi Ufanikiwe , Wala Upate Kazi Andika Jina Kwenye keratasi Ndogo Weka Kwenye MAJI YA CHUMVI Kuna wengine Walikuwa na maisha mazuri leo hii Hawana hata mia Kunawatu walikuwa na Wateja lkn leo hii Hawana Wateja Inauma sana
1
11
746
Ukiswali Salat fajr tena kwa wakati Mwenyezi Mungu atakuhifadhi na Mengi ya dunia hii elewa Neno kuhifadhi 📌
1
13
98
1,570
Kama Mpenzi Wako Wa Zamani (Ex) Wako Akiwasiliana Nawe, Jua Tu Kuna Mambo Mawili: 1. Anataka Kuona Kama Bado Wewe Ni Mjinga 2. Anahitaji "Msaada" Fulani Soma Tena 👊👊
15
42
1
170
6,419
Usikubali aibu ikunyime kipato. Kazi halali haipotezi thamani kwa Sababu watu fulani wanaidharau..!
10
32
64
803
Demu anakupa namba ila wewe ndio utaamua uache kumtafuta au ufute namba. Kila text Utakayomuanza kumtumia lazima aseme hii text ni ya mwisho niunge salio tuendelee kuchat normally au green app. Ukisema umpigie hapo simu haiokotwi. Ila ukimuambia niuzie yuyu anakasirika.
31
36
5
97
4,458
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
34
275
20
646
75,941