Omugimba wa 23 aliyezaliwa Mwaka 1979 katika koo ya watengeneza Mvua kutoka eneo la Nyabhikerya Kijiji cha Busegwe amefariki leo Oktoba 25, 2026 kwa ajali ya pikipiki Butiama mkoani Mara.
Omugimba wa 23 wa nchi Nane (8) za Kizanaki Chief Mwl. Mazira Marwa Ihunyo wa Kijiji cha Busegwe aliyezaliwa Mwaka 1979 amefariki leo Oktoba 25, 2026 kwa ajali ya pikipiki huko Butiama mkoani Mara
RC SAGINI AJITAMBULISHA CCM MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Jumanne Abdallah Sagini amefanya ziara Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za Mkoa huo zilizopo Mbeya Mjini ili kujitambulisha na kuweka mikakati ya pamoja ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Septemba 18, 2026.
Harusi zinafanya watu waendelee kuwa masikini wa akili na maendeleo fikiria rafiki zako 30 wanafanya harusi mwaka huu mchango ni 100K kwa kila mmoja = 3M, bado mavazi na zawadi, baada ya miezi baadhi yao wanaachana bora ungeongezea mtaji changia kiasi kuepuka lawama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Jumanne Abdallah Sagini na familia yake Ikulu ya Tunguu Zanzibar
Sagini awafunda viongozi na watendaji Dira 2050 Mkoa wa Songwe
Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo..































