MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire) header
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire) profile picture

Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐Ÿ† A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.

Nairobi
Joined April 2014
Photo by MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire)Photo by MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire)Photo by MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire)
"CCM haina uwezo wa kututoa walikotukwamisha":-Hon Freeman Mbowe
22
109
7
958
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Mtaalam Pekee unaenda na ugonjwa WA kansa na akakupima kwa muda mrefu akagundua huna kansa akasema nimekukuta na dengue NI daktari ili anakusaidia Kikatiba si vipaumbele cha mahakama kusaka adhabu kumpa mtu kumkomoa mahakama IPO kusaidia wananchi Hili la @TunduALissu Mmechemka
1
8
17
283
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Tanzanian opposition leader Tundu Lissu has been sentenced to four years in jail after being arrested on treason charges in April. The court instead convicted him of inciting unrest in a trial that has been widely condemned as politically motivated.
15
233
7
626
56,223
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Kama wasomi wa taifa wenye PhD zao ndio wapo hivi, hao wajinga wana hali gani?๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
8
1
2
23
1,934
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
โ€ผ๏ธTUMFARIJI TUNDU LISSUโ€ผ๏ธ Kila anayeweza AFIKE kwenye msiba na aende kwenye mazishi ya Mzee Alute kumwakilishi Lissu Tuseme kwa pamoja ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ I AM TUNDU LISSU โ€œMimi ni Tundu Lissuโ€ Kushindwa kumzika mpendwa wako kwa kuzuiwa na mafedhuli inauma sana! Naongea nikijua uchungu huu! Lissu, Heche na wanachadema walinifariji sana walipoenda kufariji familia yangu na kumzika Baba yangu! Sitasahau upendo huu! (Isipokuwa mnafiki dalali Lema huyu โŒ) Kwa sasa kila anayeweza, kila mtanzania asimame na Lissu na familia yake katika huu msiba! #FreeTunduLissu
2
18
60
1,126
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Kama uchaguzi ulivurugwa kwa sababu ya uchochezi; mshindi alipataje 98%? Mchochezi alivurugwa vipi na hizo asilimia (%) zilitoka wapi? Shame on you Judiciary.
18
92
2
555
9,061
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Aluta
1
50
263
3,398
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
We have failed you TAL ๐Ÿ’”
26
142
1
775
16,552
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Baada ya hukumu ya leo; kama kuna Mtanganyika atakaethubutu kushauri au kuunga mkono MARIDHIANO atakuwa mjinga na mpumbavu wa hali ya juu. Watawala hawataki haki wala amani wanachotaka ni kujikita madarakani kwa gharama yoyote.
15
59
388
6,413
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Tukitafute hiki kitabu!!!
2
13
126
2,372
Yeye amekuaje mbona baba yake alikuwa ana UTU at least japo ndio founder wa kuwaondoa wamasai ngorongoro na mwane kakamilisha
1
2
40
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Ujue bila ya wanaharakati kutoboa siri ya hukumu ya Lisu. Ujue Lisu alikuwa anakula miaka tano wazee. Ukute wanaharakati ndo wamesababisha wale jamaa wakapunguza mwaka mmoja alafu anakuja yule dalali wa machame anasema tuwapuuzie wanaharakati. Fuck๐Ÿšฎ
28
94
5
757
17,498
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Hiki kichwa sio cha kukaa jela aisee.
4
46
2
206
3,863
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
pole sana mzee wangu alute mahakama imekuangusha. lakini nakubaliana na wewe, lazima tuishi kwa matumaini. mapambano yaendelee. uendelee kupumzika kwa amani, na niendelee kukuweka wewe binafsi na familia yako kwenye maombi wakati wa kipindi hiki kigumu. ๐ŸŽฅ: @izzy_pro_director:
2
92
472
6,483
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Tundu Lissu ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela, je, ipi hatma ya cha... youtube.com/live/jbX8FXgftkEโ€ฆ via @YouTube
5
51
169
5,152
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
ARBITRARY ARRESTS-UKAMATAJI HOLELA Neema mhanuzi katibu wa Bawacha mkoa wa kigoma amechukuliwa na watu waliojitambulisha kua ni Askali wa Jeshi la police. Amechukuliwa Nyumbani eneo la Mwasenga, kata ya Buhanda. Kigoma mjini majira ya SAA 12 Jioni. Viongozi wa chadema pamoja na familia wamemtafuta vituo vyote vya police mjini kigoma, police wamekanusha kua hawamshikilii wao, ingawa wamesema warudi kesho asubuhi kituo kikuu cha police Mnarani. Free Neema Mhanuzi now
5
58
1
213
3,000
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Mwaka 1957 wakoloni wazungu walimfungulia Mwalimu Nyerere kesi ya uchochezi. Kwenye hiyo kesi wakoloni wazungu walimkuta na hatia mwalimu Nyerere. Pamoja na kumkuta na hatia Mwalimu wakoloni hawakumfunga Nyerere gerezani bali walimlipisha faini na akaenda nyumbani. Miaka zaidi ya 70 baadae, mahakama chini ya majaji kina Ndunguru na Jaji mkuu Masaju. Yenyewe imejiundia kosa, imejitafutia ushahidi, imemfunga kiongozi wa upinzani nchini tena kwenye kosa lenye faini. Ccm na serikali ya Samia Suluhu Hassan ni makatili kuliko wakoloni wazungu. Historia itawaweka mnapostahili.
20
172
2
549
8,683
MUNGU wetu ni mkubwa Msikilizeni Adv MADERKA anafafanua kuwa HUKUMU ya Jana MAHAKAMA ki sheria imethibitisha kuwa Mhe Lissu ALIZUIA uchaguzi na hivyo kumkukuta na hatia kwa UCHOCHEZI na hio inamaana kuwa UCHAGUZI HAUKUFANYIKA na VIONGOZI waliopo no HARAMU ๐Ÿ˜„ Tha k you LLRD
2
142
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
๐ŸฅนDaah Huyu Jamaaa ๐Ÿซก๐Ÿซก๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ Mpaka internet inazimwa HUYU NI MWANAUME๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
11
454
8
2,120
32,343
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ retweeted
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri. Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa videoโ€ฆ..
71
231
3
1,710
41,911
Mhe Lissu amehukumiwa kwa HILA za Samia na abdul ukisoma sheria za uchochezi mhe.Lissu hana hatia
2
167