
Building Capital Digital | Digital Consultant | @TOTBonanza Coordinator | Jogger
Joined April 2011
- Tweets138K
- Following1.2K
- Followers55.9K
- Likes1.1K
Fred Kavishe retweeted
Kulala Giza Utake wewe tu Umeme💡 unanunulika kwa Simbanking 📲
Mpango upo kwenye USSD ya SimBanking ya CRDB * 150 * 03 # inanunua umeme hata kwa siku ngumu kama ya leo🤣 na bado unaingia kwenye droo ya safari za kwenda Ulaya. Hakuna siku ngumu mbele ya SimBanking wewe 👏
PIGA * 150 * 03 #
#simbankingkimpangowako
Mikoa ya Kusini potential kubwa sana
Hakuna sehemu kuna clean beaches kama Lindi
Kuna mbuga ya wanyama kubwa sana
Korosho ni dhahabu yao
Gas ipo
Makaa ya mawe
Bandari ya mtwara
Lakini ndio mikoa iliyolala Barabara mbovu huduma Muhimu hakuna
Fred Kavishe retweeted
Mambo ya kuangalia wallet kila dakika na kusema "Mungu atasaidia" tuyapunguze kidogo 😂
Lipa zako bill zako kwa TemboCard Visa ya CRDB Bank, maana kila wiki washindi 50 wanaondoka na Laki Moja Moja!
Wewe unaweza kuwa mshindi wa wiki hii
#KilaMtuApateNaTemboCardVisa
Fred Kavishe retweeted
Wakati wengine wanapanga mavazi, wewe panga na ushindi wako! 🤣
Lipa kwa TemboCard VISA kila unapofanya shopping na ujishindie laki 1 kila wiki, laki 2 kila mwezi na Milioni 10 mwisho wa kampeni. Sikukuu hii kila mtu apate, na wewe usiachwe nyuma
#kilamtuapatenatembocardvisa
Fred Kavishe retweeted
Kuna watu wanaenda shopping kwa ajili ya sikukuu, na kuna watu wanaenda shopping huku wakijiandalia zawadi pia 🎁
Usibaki nyuma, lipia manunuzi yako kwa TemboCard VISA 💳 na upate nafasi ya kushinda TZS 100,000 kila wiki, TZS 200,000 kila mwezi na TZS 10,000,000 mwisho wa kampeni.
Kumbuka, kila malipo yanaweza kukupeleka kwenye ushindi
#kilamtuapatenatembocardvisa
Fred Kavishe retweeted
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government.
Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend.
This is not justice. This is damage control.
History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu
November 6, 2027
—Admin.







