๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01) header
๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01) profile picture

Influencer

Joined May 2024
Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)Photo by ๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaaJr01)
๐Ÿ“RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), โคต๏ธ
1
10
8
95
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya, nchini Uturuki, kuanzia Novemba 9 hadi 20, 2026. Mkutano huo unawakutanisha viongozi wa nchi mbalimbali, taasisi za kimataifa, wataalamu na wadau wa mazingira kujadili hatua za pamoja za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kujenga mustakabali endelevu. Masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa ni pamoja na: Ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mpito kuelekea matumizi ya nishati safi. Ulinzi wa mazingira na uhifadhi wa misitu. Kukabiliana na athari za ukame, mafuriko na ongezeko la joto. Kuimarisha ustahimilivu wa uchumi na jamii dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Nafasi ya Tanzania Ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo ni fursa muhimu ya kuendeleza diplomasia ya mazingira, kuwasilisha vipaumbele vya taifa na kutafuta ushirikiano pamoja na uwekezaji katika nishati safi, kilimo himilivu na maendeleo endelevu. Aidha, Tanzania ina tukio maalumu katika COP31 litakalojadili mpango wa mpito wa nishati na matumizi ya nishati safi katika shule na vituo vya afya, Novemba 11, jijini Antalya. Tukio hilo limetajwa kumshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan. #SamiaCOP31 #NishatiSafiSamia
9
3
52
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini
1
6
4
68
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya, nchini Uturuki, kuanzia Novemba 9 hadi 20, 2026. Mkutano huo unawakutanisha viongozi wa nchi mbalimbali, taasisi za kimataifa, wataalamu na wadau wa mazingira kujadili hatua za pamoja za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kujenga mustakabali endelevu. Masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa ni pamoja na: โ– Ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. โ– Mpito kuelekea matumizi ya nishati safi. โ– Ulinzi wa mazingira na uhifadhi wa misitu. โ– Kukabiliana na athari za ukame, mafuriko na ongezeko la joto. โ– Kuimarisha ustahimilivu wa uchumi na jamii dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Nafasi ya Tanzania Ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo ni fursa muhimu ya kuendeleza diplomasia ya mazingira, kuwasilisha vipaumbele vya taifa na kutafuta ushirikiano pamoja na uwekezaji katika nishati safi, kilimo himilivu na maendeleo endelevu. Aidha, Tanzania ina tukio maalumu katika COP31 litakalojadili mpango wa mpito wa nishati na matumizi ya nishati safi katika shule na vituo vya afya, Novemba 11, jijini Antalya. Tukio hilo limetajwa kumshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan. #SamiaCOP31 #NishatiSafiSamia
10
11
108
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Wanasema Lissu ni mzalendo anayependa hii nchi, lakini nyumbani kwao ameshindwa kabisa kupapenda; atawezaje kupenda hii nchi ikiwa nyumbani ameshindwa kupapenda. Sishangai sana maana watoto wake ni raia wa Marekani.
1
7
2
7
248
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
2
5
5
53
hilo limetajwa kumshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan.
2
katika nishati safi, kilimo himilivu na maendeleo endelevu. Aidha, Tanzania ina tukio maalumu katika COP31 litakalojadili mpango wa mpito wa nishati na matumizi ya nishati safi katika shule na vituo vya afya, Novemba 11, jijini Antalya. Tukio
1
23
joto. Kuimarisha ustahimilivu wa uchumi na jamii dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Nafasi ya Tanzania Ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo ni fursa muhimu ya kuendeleza diplomasia ya mazingira, kuwasilisha vipaumbele vya taifa na kutafuta ushirikiano pamoja na uwekezaji
1
4
kujenga mustakabali endelevu. Masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa ni pamoja na: Ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mpito kuelekea matumizi ya nishati safi. Ulinzi wa mazingira na uhifadhi wa misitu. Kukabiliana na athari za ukame, mafuriko na ongezeko la
1
3
Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya, nchini Uturuki, kuanzia Novemba 9 hadi 20, 2026. Mkutano huo unawakutanisha viongozi wa nchi mbalimbali, taasisi za kimataifa, wataalamu na wadau wa mazingira kujadili hatua za pamoja za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na
1
23
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya #SamiaCOP31 #NishatiSafiSamia
1
2
1
1
29
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Geita pamoja tunaweza kufanya zaidi kwa kutumia fursa la jukwaa hili la Chimbo La Vijana Brunch 2026.
8
7
78
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), jijini Antalya, Uturuki. Ushiriki wa Tanzania ni fursa ya kuimarisha diplomasia ya mazingira, kutafuta uwekezaji katika nishati safi na kusukuma ajenda ya maendeleo endelevu. Tanzania inaendelea kushiriki katika mazungumzo ya kimataifa yanayogusa mustakabali wa uchumi na maisha ya wananchi wake. #NishatiSafiSamia #SamiaCOP31 #SiNdotoTena
3
12
14
518
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Chimbo la vijana ni fursa ya kupata Elumu, mafunzo, huduma za jamii, fursa za ajira na biashara, burudani pamona na michezo vyote ni sehemu yake. Geita โœ๐Ÿฟโœ๐Ÿฟ
9
8
116
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
๐—ฆ๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐˜ƒ๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ โ—Ni kwa kuwezesha kunufaika na fursa hapa nchini โ—Yataka Wizara ya Madini iwe mfano kwa wizara zingine โ—Makandarasi watetewa ili wanufaike na miradi ya ujenzi
6
5
121
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Kumekucha Geita usikose kwenye Chimbo la Vijana uweze kujipatia Elimu, fursa za biashara, Huduma za jamii, burudani na michezo.
5
4
88
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Chimbo La Vijana GEITA 2026 โ€œPamoja , Tunaweza Kufanya Zaidiโ€
13
12
258
๐Ÿ“2026 tunakutana Geita kwa nguvu mpya! CHIMB LA VIJANA BRUNCH ni zaidi ya tukio; ni jukwaa la kuunganisha vijana, kujenga mitandao na kufungua milango ya fursa. Matukio makubwa, ushiriki mkubwa, fursa nyingi! #Tumokwenyebatalachimbo ๐Ÿ’ช
12
10
207
๐‰๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Simu ya Chimbo la vijana inakuita na location ni moja tu Geita.
6
6
293