๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
๐RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐น๐ฟ๐น๐ท
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), โคต๏ธ
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐น๐ฟ๐น๐ท
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya, nchini Uturuki, kuanzia Novemba 9 hadi 20, 2026.
Mkutano huo unawakutanisha viongozi wa nchi mbalimbali, taasisi za kimataifa, wataalamu na wadau wa mazingira kujadili hatua za pamoja za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kujenga mustakabali endelevu.
Masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa ni pamoja na:
Ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mpito kuelekea matumizi ya nishati safi.
Ulinzi wa mazingira na uhifadhi wa misitu.
Kukabiliana na athari za ukame, mafuriko na ongezeko la joto.
Kuimarisha ustahimilivu wa uchumi na jamii dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.
Nafasi ya Tanzania
Ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo ni fursa muhimu ya kuendeleza diplomasia ya mazingira, kuwasilisha vipaumbele vya taifa na kutafuta ushirikiano pamoja na uwekezaji katika nishati safi, kilimo himilivu na maendeleo endelevu.
Aidha, Tanzania ina tukio maalumu katika COP31 litakalojadili mpango wa mpito wa nishati na matumizi ya nishati safi katika shule na vituo vya afya, Novemba 11, jijini Antalya. Tukio hilo limetajwa kumshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan.
#SamiaCOP31 #NishatiSafiSamia
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐น๐ฟ๐น๐ท
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐น๐ฟ๐น๐ท
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya, nchini Uturuki, kuanzia Novemba 9 hadi 20, 2026.
Mkutano huo unawakutanisha viongozi wa nchi mbalimbali, taasisi za kimataifa, wataalamu na wadau wa mazingira kujadili hatua za pamoja za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kujenga mustakabali endelevu.
Masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa ni pamoja na:
โ Ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
โ Mpito kuelekea matumizi ya nishati safi.
โ Ulinzi wa mazingira na uhifadhi wa misitu.
โ Kukabiliana na athari za ukame, mafuriko na ongezeko la joto.
โ Kuimarisha ustahimilivu wa uchumi na jamii dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.
Nafasi ya Tanzania
Ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo ni fursa muhimu ya kuendeleza diplomasia ya mazingira, kuwasilisha vipaumbele vya taifa na kutafuta ushirikiano pamoja na uwekezaji katika nishati safi, kilimo himilivu na maendeleo endelevu.
Aidha, Tanzania ina tukio maalumu katika COP31 litakalojadili mpango wa mpito wa nishati na matumizi ya nishati safi katika shule na vituo vya afya, Novemba 11, jijini Antalya. Tukio hilo limetajwa kumshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan.
#SamiaCOP31 #NishatiSafiSamia
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Wanasema Lissu ni mzalendo anayependa hii nchi, lakini nyumbani kwao ameshindwa kabisa kupapenda; atawezaje kupenda hii nchi ikiwa nyumbani ameshindwa kupapenda.
Sishangai sana maana watoto wake ni raia wa Marekani.
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) ๐น๐ฟ๐น๐ท
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), jijini Antalya, Uturuki.
Ushiriki wa Tanzania ni fursa ya kuimarisha diplomasia ya mazingira, kutafuta uwekezaji katika nishati safi na kusukuma ajenda ya maendeleo endelevu.
Tanzania inaendelea kushiriki katika mazungumzo ya kimataifa yanayogusa mustakabali wa uchumi na maisha ya wananchi wake.
#NishatiSafiSamia #SamiaCOP31 #SiNdotoTena
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Chimbo la vijana ni fursa ya kupata Elumu, mafunzo, huduma za jamii, fursa za ajira na biashara, burudani pamona na michezo vyote ni sehemu yake.
Geita โ๐ฟโ๐ฟ
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
๐ฆ๐ฒ๐ธ๐๐ฎ ๐ฏ๐ถ๐ป๐ฎ๐ณ๐๐ถ ๐๐ฎ๐ท๐ถ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ
โNi kwa kuwezesha kunufaika na fursa hapa nchini
โYataka Wizara ya Madini iwe mfano kwa wizara zingine
โMakandarasi watetewa ili wanufaike na miradi ya ujenzi
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Kumekucha Geita usikose kwenye Chimbo la Vijana uweze kujipatia Elimu, fursa za biashara, Huduma za jamii, burudani na michezo.
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
๐2026 tunakutana Geita kwa nguvu mpya! CHIMB LA VIJANA BRUNCH ni zaidi ya tukio; ni jukwaa la kuunganisha vijana, kujenga mitandao na kufungua milango ya fursa.
Matukio makubwa, ushiriki mkubwa, fursa nyingi!
#Tumokwenyebatalachimbo ๐ช
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Ndani ya GEITA @chimbolavijana limetia Team
Ni wakati wetu vijana kwa Pamoja tunaweza kufanya Zaidi ๐ค
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
SEKTA BINAFSI YAJIVUNIA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN!
Sekta binafsi imepongeza juhudi na uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuweka mazingira bora ya uwekezaji na kukuza uchumi. Ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ni chachu ya maendeleo, ajira na ustawi wa Watanzania. ๐น๐ฟ
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
๐Sekta binafsi yajivunia Samia
โNi kwa kuwezesha wazawa kunufaika na fursa hapa nchini
โYataka Wizara ya Madini iwe ya mfano kwa wizara zingine
โMakandarasi watetewa ili wanufaike na miradi ya ujenzi
Sekta binafsi yajivunia Dkt. Samia Suluhu Hassan
Ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ni sehemu muhimu katika kukuza uchumi, kuvutia uwekezaji na kufungua fursa zaidi kwa Watanzania.
Kujivunia kwa wadau wa sekta binafsi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kunaakisi namna wanavyotathmini juhudi za Serikali katika kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini.
๐๐ซ ๏ฃฟ retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Wajumbe wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kuhusu Maridhiano ya Zanzibar, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Novemba, 2026.

















































