Kumbe kuna uchaguzi na hamsemi 😂😂😂
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepiga kura leo, Novemba 4, 2026, katika uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino, Mkoani Dodoma.
Rais Samia amepiga kura katika Kituo cha kupigia kura kilichopo Ofisi ya Kijiji cha Chamwino.
Uchaguzi huo unafanyika kufuatia aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Deogratius Ndejembi, kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#MillardAyoUPDATES
🕯 retweeted
Yaan the real passion of Football Idi Nado hayuko timu ya Taifa ?
Enh Tuko na Libase wangapi humo kwenye kikosi ?
Jamani hebu tuweni Serious na mpira kuna winga Bongo anamzidi Nado kwa kipindi hichi ?
🕯 retweeted
MAN TO MAN
Umri wa miaka 25–35 na kuendelea unaweza kuwa kipindi kigumu sana katika maisha.
Unaanza kuona wazazi wako wakizeeka, marafiki wakipungua, msongo wa mawazo kuhusu kazi na maisha, huku ukipambana na mashaka juu ya uwezo wako mwenyewe.
Familia yako inatarajia uwe imara, uvumilie na uonyeshe kuwa unaweza kukabiliana na kila kitu.
Unaanza hata kupoteza hamu ya mambo ambayo zamani yalikuwa yakikupa furaha.
Lakini brother usikate tamaa, endelea kuwa imara. Hata kama mambo ni magumu kiasi gani, Huhitaji kuwa na majibu ya kila kitu leo.
Pambana hatua kwa hatua, jipe muda na usisahau kuwa hata mwanaume mwenye nguvu anahitaji kupumzika na kupata msaada. 🤝
🕯 retweeted
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini dosari mbalimbali katika ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru, pamoja na ujenzi wa Uwanja wa Arusha unaoandaliwa kwa ajili ya AFCON 2027.
Akiwasilisha taarifa ya Kamati hiyo leo Novemba 3,2026 Bungeni jijini Dodoma, Mjumbe wa PAC Mhe. Beng’i Issa amesema katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ukaguzi umebaini kutofungwa kwa switchgear ya nne, mapungufu ya udhibiti wa ubora na malipo ya kazi ambazo hazikufanyika au zilizozidi thamani ya kazi iliyotekelezwa.
Katika viwanja vya Uhuru na Arusha, kamati imebaini dosari za ubora wa vifaa, uteuzi wa mzabuni mwenye bei ya juu na kasoro za usanifu zilizosababisha ongezeko la gharama za mradi.
PAC imeitaka Serikali kuchunguza dosari hizo, kurejesha fedha zilizolipwa kinyume na stahili na kuhakikisha kasoro za ujenzi zinarekebishwa.
#KitengeUpdates
🕯 retweeted
‼️🚨TUNDU LISSU KIFUNGO MIAKA 5, WAPANGA CHADEMA KUBOMOLEWA‼️
Kama mnafikiri hawa waovu wanaweza kuchoka au kujirudi SAHAUNI! Wamepanga hivi baada ya kushauriana:
👉🏽 Tundu Lissu wanaenda kumfunga miaka mitano! Kimama kimeshauriwa na Jaji Mkuu kuwa uhaini ni kuhukumiwa kunyongwa au kufutiwa kesi! Hasikii! Anataka Lissu atoke 2031 ili uchaguzi wa 2030 upite agombee yeye au Bashite au Ridhwani! Wapumbavu wote hawa ila wanaamini upumbavu wao kwa dhati
👉🏽Wameshaanza kutengeneza mgogoro ndani ya Chadema. Na alivyosema @mangekimambi wanasubiri watangaze hukumu ya Lissu waanze kutoka sasa wale wa “hekima” na “strategic engagment” wanataka Lissu akitoka asikute Chadema anayoijua ibaki gofu tu ya madalali!
👉🏽 Tume ya Jaji Lila litaanza kuwaita viongozi wa Chadema hata Lema naambiwa inawezekana muda huu anaenda kuhojiwa ILA yake ni danganya toto arudishe imani ila wamemlenga Heche hapo na wale “wabishi”
👉🏽 kila anayeonekana kuwa mwiba kwao atashughulikiwa na hii tume ama kutekwa ili wapate utulivu kula nchi vizuri na wajirithishe mali!
Siwaandikii kuwakatisha tamaa - la HASHA! Ni kuwaambia kwamba huu ndo muda wa kupambana na hakuna wa kuja kutuokoa! Hawa mafedhuli HAWANA MPANGO wa kurudi nyuma! Bora tujaribu kupambana kwa moyo wote tufanikiwe au tusifanikiwe ila tutajua we did everything we could possibly do! Lazima kumtoa Lissu kifungoni! Hiki kinachoendelea si kesi ni upumbavu! Tusitake akate tamaa!
Na wale wana CCM wanaodhani wako salama wajue nao watafuatwa! Maana kwa sasa genge la mashetani wanataka kula tu na kutufanya manamba!
We need to fight like HELL au tumekwisha kama nchi!
#TutaelewanaTu #FreeTunduLissu
🕯 retweeted
Mkishaona polisi wanatoa matisho ya Usalama eneo la Mahakama, mjue wanajua content ya Hukumu na haitendi haki.
The fact kuwa kuna hisia ya dola kuweza kujua Mahakama itaamua nini make a best of 🦘 🦘 Court
🕯 retweeted
Mkurugenzi Mtendaji wa Jayrutty Investment, CPA Joseph Rwegasira akielezea ubunifu mkubwa ambao umefanyika katika jezi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026/27.
Itoshe kusema hii ni jezi bora bora bora sana 🔥 #NguvuMoja


























