Pinned Tweet
FAHAMU LIST YA WATU (10) DUNIANI WANAOFANANA NA MAREHEMU.
[List of (10) people who have same faces as some people who died ]
Uzi (Thread) 🧵
1. Steven Kanumba & Shifta
Rezam Six retweeted
The countdown is on, 2 Days to Go. Dodoma is getting ready to host #JukwaaLaUziduaji2026, bringing together key stakeholders to discuss transparency, accountability & sustainable development.
Let’s shape conversations turn natural resource wealth into shared prosperity for all.
Replying to @VodacomTanzania
@VodacomTanzania M-Pesa Kwani ina Shida Gani Mnakata Hela Halafu Haifiki Sehemu Husika ?
Rezam Six retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 40/41/42/43/44/45
✅Bei 90,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
Rezam Six retweeted
Kwa nini usubiri mkeka uchanike wakati Cash Out iko ON?
Ukiwa na @777bet_tz una nafasi ya kufanya Cash Out kabla mechi haijaisha. Unaamua mwenyewe lini uchukue kilicho mezani badala ya kusubiri dakika ya mwisho!
Jisajili hapa 777bet.tz.
#777Bet #777BetMabingwa
Rezam Six retweeted
Kindly Retweet🙏🏽
▪️SoundCore R50i
🔊Zina bass lakutosha.
📞Zina clear calls. Mnaskiana vizuri sana.
🔋unaskiliza music zaidi ya masaa 10.
💦IPX5 waterproof
📱Zina application yakusetia sauti unavyotaka.
iPHONE & ANDROID✅
💰Bei 65,000/= Tsh
📞0628139218
📞0747689218
Rezam Six retweeted
Si kila kitu kinahitaji majibu leo. Wakati mwingine unachohitaji ni uvumilivu, imani na ujasiri wa kuendelea. ❤
Rezam Six retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere JNIA) Jijini Dar es Salaam, tarehe 10 Novemba, 2026 kabla ya kuondoka kuelekea Jijini Antalya, Uturuki, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi (COP31).
Rezam Six retweeted
Naomba Repost Yako 🙏❤
⌚Smart Watch MODIO
Tsh.120000
☎0752777167
📍mwananyamala popote Tanzania inakufikia
Rezam Six retweeted
Tunajua wengine mnapenda samaki waje namna hii, wamekaangwa vizuri kwa upendo na mshikamano.
Msijali, weka oda yako hapa 0762344677
Rezam Six retweeted
When you are at your lowest,that's your life. The higher you rise,your life becomes not yours anymore,the privacy and the closure becomes hard to keep.
Every human is the same,that's a big lie.Our value increases as how many lives we touch in a positive way.
Good morning fam.
Rezam Six retweeted
Hata kama unaenda polepole ila mradi hujasimama basi jua kwamba bado unasonga mbele.
Rezam Six retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Rezam Six retweeted
Elimu ya shule itakufunza kuondoa ujinga ila Elimu ya Mtaani itakufunza maisha na jinsi ya Kuishi.📌
Rezam Six retweeted
Hello Dears♥️ Kama vile ambavyo Mwanamke hawezi kubeba ujauzito leo akapata mtoto kesho kadhalika mafanikio ili vitu vitokee kwenye maisha yako kuna mchakato wa Muda Uvumilivu na Nidhamu kubali kujipa muda vipe vitu muda wa kutokea kwani vyenye thamani vina gharama😎🥰










































