Online Commodity Trading - Daily Market Data
instagram.com/p/C-8PdckoNKS/…
TMX retweeted
Ongezeko la uuzaji wa Ufuta kupitia mfumo ramsi wa Kidijitali wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) Msimu wa Mwaka 2024 na 2025.
#MamboMtandaoMinadaKidijitali
#MtaaWaNafaka
#NaneNane2024 #KilimoNiMchongo
TMX retweeted
Bw. Goodluck Luhanjo, Afisa wa TEHAMA kutoka Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) akizungumzia kuhusu Mtaa wa Nafaka pamoja na Jukwaa la Kidijitali #NaneNane2024 #MamboMtandaoMinadaKidijitali
#MtaaWaNafaka #KilimoNiMchongo
TMX retweeted
IMEBAKI SIKU MOJA TU: Jumuika nasi kuanzia tarehe 1 hadi 8 Agosti 2024 kwenye Viwanja vya Nane Nane Jijini Dodoma. Hii ni nafasi yako kuona taasisi kutoka sekta binafsi na umma zikionesha mafanikio yao. Usikose fursa hii ya kipekee!
#MtaaWaNafaka
#NaneNane2024
#KilimoNiMchongo
TMX retweeted
Karibu #PlazaKidijitali kwenye #MtaaWaNafaka katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya #NaneNane2024 kuanzia tarehe 01 - 08 Agosti, 2024 Jijini Dodoma.
@tmx_tz, Bodi ya Stakabadhi za Ghala (WRRB), @ushirika_tcdc na @VodacomTanzania
#MamboMtandaoMinadaKidijitali #KilimoNiMchongo
Online Commodity Trading -29 July 2024 instagram.com/p/C-Aey6jIo4T/…
1
318
Online Commodity Trading - 28 July 2024 instagram.com/p/C9_0PrZKjcw/…
1
291
Online Commodity Trading - Daily Market Report 23 July 2024
instagram.com/p/C9xGmL0qhO4/…
1
1
235
Online Commodity Trading - Daily Market Report on 21 July 2024
#online #commodity #trading
instagram.com/p/C9rnASzoi0b/…
2
189
Mfumo mpya wa uuzaji ufuta unaotumika msimu 2024/25 kupitia chama kikuu ya MAMCU umekuwa na manufaa baada ya mauzo kufikia Shilingi Bilioni 80.
Hayo yamebainika ikiwa minada ya ufuta kwa msimu 2024/25 ikielekea mwisho ambapo mfumo huu ukielezwa kuwa na manufaa kwa wakulima.
Utofauti wa msimu huu na misimu mingine umetokana na matumizi ya mfumo wa TMX ambao umetumika katika minada.
Takwimu za msimu 2023/24 katika minada ya mwisho ya Ufuta, bei ya juu ilikuwa Sh. 3,560/= ikiwa ni tofauti na msimu 2024/25 ambapo bei ya juu ya Sh. 3,570/=
1
1
203
Wakulima wa zao la ufuta wa wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara wamesema mfumo huo umekuwa ni wauwazi zaidi na wenye kuleta tija kwao.
Wamesema mfumo huo uendelee kusimamiwa kwani ni mkombozi na utaleta tija kwao.
#online #commodity #trading
Online Commodity Trading - 20 July 2024 Daily Market Report
instagram.com/p/C9pB4zrotl7/…
1
148
Online Commodity Trading - 19 July 2024 instagram.com/p/C9m0ddeIiMj/…
1
138





