Bennett retweeted
Unashinda kwa gain trains kutoka January followers wanajaa lakini bado unajiongelesha
unatumia akilinya nzi bois??
11
Bennett retweeted
High school kuna time prefects wote walikua wanaenda trip wanaachia shule peaky blinders
Bennett retweeted
Kaa hujai jua siku izi zangu ni zile za ma hi-five kaa Pentagon
MA rapper wana sita sita kaa Hexagon
Madem wanachora basa kaa Heptagon
Narepresent number nane kaa Octagon
Bennett retweeted
Long distance alinicon 4k last month in the name of 'nitumie nitakurudishia'. Sasa, leo amenitumia 3500 nimchukulie mzigo hapa town nikamwambia kama anataka mzigo anilipe pesa yangu kwanza. Naona pale green app bado anatuma 'rada?'. I've been too good hadi haamini nimejilipa.😂😂
Confirm your presence if you want active mutuals ✅️
teapaw.org/i/spaces/1zkZrRyoVZvnQ…
Bennett retweeted
Confirm your presence if you want active mutuals ✅️
teapaw.org/i/spaces/1zkZrRyoVZvnQ…
Bennett retweeted
Sometimes you think that you want to disappear but all you really want is to be found





















