Ebu mnipee mistari za kuteka cougars. Kuna huyu msichana mdogo wa 34 years hapa nikiweza mrushia maneno vizuri anaweza niweka vizuri sana hii town, drop them.
Makosa nilifanya kama mtoto ni kunyonya kidole. 😂 Unaingia Class Six, unaweka kidole kwa mdomo, unapata darasa mzima imekucopy. Hapo ndio self-esteem yangu ilizikwa officially. 😭💀