BlessingChess (@BlessingChess) header
BlessingChess (@BlessingChess) profile picture

Data Privacy Officer (DPO) | Passionate about digital transformation, innovation, and creating impactful projects |+44 20 8638 6823 | [email protected] |London 🇬🇧

London, England
Joined September 2013
Photo by BlessingChess (@BlessingChess)
Finally I realised, I'm Not a permanent Person In Anyone's Chapter, But I can Assure To Be A Best Temporary Person You Ever Meet.
9
16
1,907
Only Tanzania 🇹🇿
5
40
6,213
BlessingChess retweeted
🚨 During the Miss Grand International 2026 voting, Shyra Andrade’s post crossed 215 million comments, while Jihan Dimack’s post crossed 182 million comments. Hey @Grok, are these numbers real or edited? Also, tell me which Insta post has the most comments on a single post? 🤔
1
2
6
1,192
BlessingChess retweeted
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Jihan Dimack, Miss Grand International 2026, ni Mtanzania halisi, akiwataka wanaohoji uraia wake kufahamu hilo.
10
3
1
107
10,818
Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala Maganga, amezua mjadala baada ya kudai bungeni jijini Dodoma kuwa nusu ya watu waliohudhuria mapokezi ya mlimbwende Jihan Dimack walikuwa wanaume wanaojihusisha na vitendo vya ushoga. Kampala pia amewatuhumu baadhi ya wasanii, MCs na ma-DJ kwa kushirikiana na watu hao, akitaka jamii kushiriki katika kulinda maadili. Jihan Dimack alirejea nchini Oktoba 17, 2026, baada ya kushinda taji la Miss Grand International 2026 nchini Thailand.
13
6
148
17,136
BlessingChess retweeted
Moja ya vitu ambavyo MANGE KIMAMBI anakosea ni kutaka wote tupende vitu anavyopenda yeye, leo anatulaumu watu kumfanya JIHAN ashinde MISS GRAND, sasa anataka wanaume tuache kushabikia Simba na Yanga tuingie kwenye siasa, Guys wote hatuwezi kupenda SIASA mtu anataka AFCON isifanyike Bongo akimaliza hapo iko siku atakuja kusema YANGA na SIMBA zijiondoe CAFCL. Siku wakiacha CHUKI na mpira labda Watanzania wataanza kuwasikiliza kwa mbali.
22
5
30
6,273
The city of Lagos is set for a new international cultural showcase as it prepares to welcome the first African winner of Miss Grand International and the first human being on earth to garner over 100 million comments, Tanzania’s Queen Jihan Dimack, and President of Miss Grand International and one of Asia’s biggest entertainment and business leaders and influencers, Sir Nawat Itsaragrisil. guardian.ng/news/lagos-welco…
1
2
3,806
BlessingChess retweeted
Nimekua kwenye medical field kwa miaka kadhaa ni mara chache sana nina dondosha chozi ila leo nimelia tena sio kwa sababu nipo na mgonjwa apana nimelia nikiwa na simu nikiiangalia video hii. Poleni Familia na watanzania wenye upendo hongereni Samia na CCM hongereni sana.
25
130
4
739
41,485
BlessingChess retweeted
Uku naskia ni Quiver Rongai dancee audition 😂😂 kazi ni kazi buana
1
8
32
2,976
BlessingChess retweeted
#KURASA Bilioni 120! Gharama ya meli mpya ya MV New Mwanza, lakini kabla haijaanza safari za kibiashara, tayari imegonga mwamba wa Bismarck katika Ziwa Victoria. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
2
2
1
20
3,757
BlessingChess retweeted
Mungu amemrehemu hakufa ile Oktoba 29,2025, Mmepata adavatage sasa akiwa hospitalini MUMMALIZE akiwa Kitandani. Kwa kheri Angel 👋😭 MUNGU USINYAMAZE.🙏
2
42
148
2,098
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa 🇹🇿📷#NoJusticeNoAFCON
11
57
3
370
22,093
BlessingChess retweeted
Daaah!… Pengine usingepelekwa Muhimbili usingekufa, Nduli Idd Amin Mama amekatisha maisha yako, nakuombea Mungu akupe pumziko la milele.🙏🥹
23
167
2
942
33,093
BlessingChess retweeted
Replying to @madeinmusoma
Nikiwa form 2 na 4 nilikuwa nako skuli
1
1
3
325
BlessingChess retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI. Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi. REPOST 200
38
680
4
2,859
89,082
BlessingChess retweeted
Wakuu hapa hakuna mwanaume🚮
71
66
3
943
132,358
Pumzika kwa amani ANGEL, Ndoto zako zimezimwa kama mshumaa na Dola katili ya Samia. Sisi tuliobaki tutaendelea kudai HAKI yako bila kuchoka, Waliohusika na kifo chako ipo siku watawajibishwa. Mwenyenzi MUNGU akupokee kwake Mbinguni, Afariji Familia na kuwapa moyo Mkuu.💔
34
143
8
606
23,601
BlessingChess retweeted
Unalia nini!!! Oyaa nimetamani niingiemo kwa simu nimchape bwana harusi vibao apate akili kwanza 😂😂🫴💔
29
9
3
148
16,986
BlessingChess retweeted
Pumzika kwa amani Angle, moyo wangu umeumia sana kwenye hili 💔🕊
58
310
7
2,382
53,174
VIDEO: MATUMAINI YA ANGEL WARIAELI KUFIKA MUHIMBILI YAGEUKA KUMBUKUMBU Video ikimuonyesha Angel Wariaeli akiwa na matumaini ya kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu, kabla ya safari yake ya maisha kufikia mwisho akiwa hospitalini hapo.
9
27
9
172
31,043
BlessingChess retweeted
Replying to @ze_mandevu
Lawama na huzuni zoote zinangukie Jamaa wa @Chadema @Chadema waliopanga na Vurugu na kupeleka Vijana Barabarani ili wapate Vyeo kiurahisi
1
36