Harry (@HarryGodfirst) header
Harry (@HarryGodfirst) profile picture

A believer✝️. John17:3, Romans 1:16-17 Athlete. Football.Swimming.Marathon.Cycling

🌍
Joined April 2021
Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)
Imagine..Imagine Just Imagine !? Kapelekwa MUHIMBILI tu shughuli ikaishia hapo !?
VIDEO: MATUMAINI YA ANGEL WARIAELI KUFIKA MUHIMBILI YAGEUKA KUMBUKUMBU Video ikimuonyesha Angel Wariaeli akiwa na matumaini ya kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu, kabla ya safari yake ya maisha kufikia mwisho akiwa hospitalini hapo.
1
52
Ingekuwa amri yangu ningemvua Samia madaraka na kinga zote halafu nimkabidhi kwa wananchi. Huyu mshenzi ameumiza watu kuliko inavyoweza kuelezeka. Halafu alivyo na moyo wa kipekee, wala hajali. Ndio kwanza yupo busy na maigizo kila kukicha.😡😡😡😡
4
20
88
2,272
Mnashindwa kutoa HAKI sawa sawa mnaenda kumfanyia Mungu DHIHAKA ya 'maombi' !? Unatoa kwanza HAKI maombi baadae, haya maigizo acheni. @judiciarytz
2
74
Mungu amemrehemu hakufa ile Oktoba 29,2025, Mmepata adavatage sasa akiwa hospitalini MUMMALIZE akiwa Kitandani. Kwa kheri Angel 👋😭 MUNGU USINYAMAZE.🙏
1
15
47
631
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa 🇹🇿👊🏽 #NoJusticeNoAFCON
7
48
2
246
26,439
Niliwahi kusema ili uteuliwe uwe Kiongozi wa serikali ya ccm sifa moja wapo ni kuwa MPUMBAVU na ni kweli. Unawezaje kufanya 'Majaribio' wakati Meli inawatu wengi namna ile? Haya hapo imegonga yale Mawe. Ingewaka MOTO na watu wakapoteza maisha ? Hawa watu ni WASHENZI sana aisee🚮
47
Ila hii nchi, Tume, Kamati,Kikosi Kazi 🙌
VIDEO: Kufuatia ajali ya meli ya MV New Mwanza kugonga mwamba wa mawe ya jiwe maarufu jijini Mwanza la Bismark Rock lililopo eneo la Kamanga Ferry, Serikali imetangaza kuunda tume ya wataalamu kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tukio hilo. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Novemba 18, 2026, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, CP Salum Hamduni amesema matarajio yao ni kuhakikisha uchunguzi huo unafanyika ndani ya siku 14 ukishirikisha Wizara ya Uchukuzi, vyombo vya usalama na mamlaka nyingine za Serikali, ili kubaini chanzo halisi cha tukio hilo pamoja na madhara yaliyoweza kujitokeza. "Napenda kuwahakikishia kwamba sasa kwa uchunguzi wa wataalamu ambao umefanyika meli yetu iko salama na tayari tushafanya mawasiliano na Wizara ya Uchukuzi kupitia kwa Waziri mwenye dhamana, maelekezo ya Serikali ni kwamba utafanyika uchunguzi wa kina kujua sababu halisi na madhara ambayo yameweza kujitokeza," amesema. Hamduni amesema meli hiyo iligonga mwamba majira saa 4:00 asubuhi leo Novemba 18, 2026 wakati ikiwa katika majaribio ya kawaida ya kitaalamu, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kurejea katika shughuli za usafiri majini baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya safari.
2
68
Well done IDF @IDF
🚨 TWO HAMAS COMMANDERS ELIMINATED IN PRECISION STRIKES IN GAZA The IDF and Shin Bet announced the elimination of two Hamas platoon commanders in separate strikes yesterday: • Ashraf Nayef Muhammad Tabasi • Saber Nayef Mahmoud Nabhan According to the IDF, both were involved in planning attacks against Israelis and rebuilding Hamas's terrorist capabilities in violation of the ceasefire agreement. Hamas continues attempting to rebuild its military infrastructure despite the ceasefire, according to Israeli intelligence. Source: IDF | Shin Bet
24
Hizi kesi zinamsaidia nini SAMIA ? Walau basi kama angekuwa na Ubongo unaofanya kazi angekuwa anawaachia au kuwafutia kesi hizi wanaCHADEMA ili wajue moja. Ila akili imejaa mipango ya Kuua na Kuteka anaendelea kubambikia wanachadema UGAIDI. Huyu mtu ni timamu kweli ?
64
Hamjui kwa nini....? 💰💰💰💰
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limehamishia Dar es Salaam, Tanzania, ofisi za uratibu wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, zilizokuwa Nairobi, Kenya. Hata hivyo, CAF haijatoa maelezo rasmi kuhusu sababu za uamuzi huo.
62
Museveni ni Muuaji. Shame on you @KagutaMuseveni
They themselves in their scripted kangaroo court appearance all agree to the need for urgent medical attention. The same state that severally denied having Sam Mugumya has brought him to their kangaroo court while he can't stand on his own! Wat happened to the law that......
2
5
138
Kaka @Liberatus80 cha ajabu hata haya matokeo ambayo SAMIA amevunja rekodi ya Chaguzi zote za Tanzania hayapo kwenye Website ya @TumeUchaguziTZ . Huu ulikuwa ni Ushenzi na Aibu.
samia suluhu hassan chairs her own ‘reconciliation’ at State House with the parties that got almost nothing. CHADEMA stays out. Lissu stays in prison. This is not a neutral process, it is the accused writing the script. #FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre #Accountability
5
6
137
mimi nawatia moyo chadema, na kuwasihi kuendelea. nawashukuru sana, sana, kwa uwepo wao, na kwa gharama wanazoendelea kulipia, na kutulazimisha, kama taifa, kutafakari endapo kama tulianzisha vyama vingi kama mbwembwe tu au kufanikisha demokrasia ya kweli:
11
134
1
489
9,771
Mimi naamini kabisa hata wale raia waliopigwa Risasi wengi wao walizikwa wakiwa bado hai. Imagine...mtoto huyu alikuwa amepooza,Ghafla tu amefariki !? 💔😭
🚨‼️SAD NEWS‼️ Another witness and victim of #MO29 massacre has died unexpectedly! Angel recently gave an interview with her mother about her ordeal! TANZIA: ANGEL WARIAELI AFARIKI DUNIA AKIWA MUHIMBILI Dar es Salaam. Binti Angel Wariaeli, aliyepata majeraha katika tukio la Oktoba 29 na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya matibabu, amefariki dunia. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa leo na mmoja wa wanafamilia wake wa karibu, ambaye ameeleza kuwa Angel amefariki dunia akiwa bado anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali hiyo. Hadi sasa, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na mamlaka za Serikali zinazohusika na usimamizi wa matibabu yake hawajatoa taarifa rasmi kuhusu kifo hicho. Juhudi za kupata ufafanuzi kutoka kwa mamlaka hizo zinaendelea. Poleni familia na wote walioguswa na msiba huu.🙏🏽 Rest in peace Angel👼
1
4
20
521
A sweet soul gone .....!! 💔😭😭 Huyu ali-paralyse tu iweje kifo cha ghafla namna hii ? Hawa washenzi hawajamuua kweli kupoteza Ushahidi ? Eeh Mungu💔💔
7
20
110
1,694
The Israeli military has launched an operation in the central Gaza Strip, beyond the "Yellow Line," displacing Palestinian civilians in the area. In a statement in Arabic, Israel's Coordinator of Government Activities in the Territories tells Gazans living in three blocks in the Bureij and Nuseirat area to leave amid the operation. "The IDF has begun a military operation targeting terror infrastructure in the central Gaza Strip, in the area surrounding the Yellow Line, specifically in blocks 660, 661 and 666," says COGAT. During the raid, the Salah a-Din road, Gaza's main north-south highway, will be closed in the area. COGAT says the army is taking "necessary measures to minimize the risk of harm to the civilian population." "For your safety, we call on you, residents of the Strip, to stay away from the area where our forces are operating until an official update is issued by the IDF Spokesperson announcing the end of the operation," COGAT adds. Palestinian media reports that Israeli tanks and other armored vehicles have advanced in the area for the first time since the October 2025 ceasefire, while civilians who were residing there are fleeing. The IDF has not yet issued a statement.
12
33
8
149
23,447
Dictators Dictating......
7
96
Msigwa leo kazi anayo..... Ufafanuzi
2
12
1,141
Sasa kama hao 'Vijana wa CHADEMA ' wamekubali si mfanye nao maridhiano ?😂😂. Halafu wakubali maridhiano wakutume wewe YUVISISIEMU uje uwasemee hapo ? Hamnaga Akili Wewe pamoja na Raisi wenu Samia. Wote nutcase.
5
4
3
36
1,848