Pinned Tweet
The pre-match montages of Tanzanian cityscapes are a fantastic addition to the AzamTV Ligi Kuu broadcast.
Moja ya 'stori za boli' iliyonichekesha sana mwaka huu ni ile ya wachezaji wa Azam kushangaa sana kuona Azizi Ki anafokewa na mchezaji wa Wydad.
At Yanga 🇹🇿, Stéphane Aziz Ki 🇧🇫 plays a major role in tactical planning! 🧠⚽
The Burkina Faso international was spotted in an intense discussion about tactics 📋 with interim coach Simo Dladla 🇿🇦 during a Tanzanian Premier League match against Mashujaa FC.
Moments later, Aziz Ki received a pass in a quick attacking move ⚡ and set up Peter Shalulile 🇳🇦 for a goal!
After Manqoba Mngqithi 🇿🇦 was surprisingly sacked by Yanga ❌, the former coach claimed:
🗣️ “It is possible that Aziz Ki spoke to some members of the management to say he does not like playing in my system.” (SNAWA) 💬🚨
Do you think players should be involved in tactical planning and have a strong influence? 🤔💭
" Mzee Mwakyembe ni mbunge mstaafu, muda wako wa kuomba kura umeshapita....tunaomba utoe salamu za rambirambi kwa ufupi kabisa. "
Ni msiba lakini MC anaonesha great sense of humour huku akijaribu kwenda na muda.
Enzi hizo hata kabla ya mwamuzi kupuliza kipenga cha mapumziko, ungesikia wanachama wameamua timu itakua chini ya Yanga Taliban baada ya matokeo yasiyoridhisha chini ya Yanga Kampuni.
MichaelMwebe retweeted
Akon anasema yeye akitaka kuwekeza $1B Marekani wala hawezi kukutana na Trump au JD Vance au Mkuu wa Senate bali anafuata taratibu na kwa haraka anafanikisha mchongo
LAKINI Afrika, akitaka kuwekeza $100000 lazima uonane na Waziri au Rais mwenyewe ili ufanikishe.
MichaelMwebe retweeted
Replying to @MichaelMwebe
Yes nimeshuhudia hii nilipokwenda pale, nikashangaa sana.... yaani ukiingia tu getini unaona kabisa ni kama kipande cha Ulaya kimewekwa pale Moshi 😀😀
Wenzetu wanajua sana kupangilia mambo yao, yaani kila kitu kipo proper hadi raha.... sisi sijui huwa tuna laana gani
Ukitaka kufanikisha ' year-round production and supply' lazima ufanye uwekezaji wa maana usiotegemea umeme wa Tanesco wala maji ya kina 'Dawasco'.
Mfano kiwanda cha sukari cha TPC Moshi kinaongoza kwa ufanisi wa uzalishaji sukari Afrika Mashariki kwa sababu mwekezaji anazalisha umeme wake, maji yake, amejenga reli yake anachonga mabehewa yake, hospitali na shule zake kwa ajili ya wafanyakazi, amejenga barabara zake...serikali inaenda kuokota kodi tu.
Jamaa wa SwahiliCentral pale IG wananifurahisha sana. Top tier content.
" Mmeshaharibu tena, mnafungua kama jambazi vile...Umeme umekatika! Utakatikaje kwani tuko Dar ? "
Wherever we go, Tanzania stays with us.
MichaelMwebe retweeted
Replying to @Shednotty
Unreal distribution . At his peak he could find a prostitute in a congregation
Simba ya anasa na starehe....hapa Moshi watu wanakunywa sana na kula nyama kwa furaha kwa sababu ya hii Simba.
MichaelMwebe retweeted
If you want to drive across East Africa in one loop, this is the route I first took in 2024. Five countries, six borders and roughly 4,400 km, starting and ending in Dar es Salaam.
The Rwanda–Burundi border is closed, so the loop drops back into Tanzania to get into Burundi.
MichaelMwebe retweeted
Replying to @MichaelMwebe
Just the transport logistics in Africa forces us to forget about expanding the CAFCL to 32 teams
Rigid zonal qualifiers cut costs, but backfires by knocking out top-tier teams early. Matches like Algeria side vs. Egypt side in the preliminaries self-cannibalize the quality of the Group Stage.
Look at the U17, U20 and Women's Champions Leagues that uses strict zonal qualifiers.
Replying to @MichaelMwebe
Or for the teams that don't have venues. We use a Zonal Prelim Qualifiers System. Southern Africa, Central & Eastern Africa, West Africa and North Africa teams which don't auto qualify have Zone Qualifiers. 16 Teams per zone. That way, the final 4 Qualify for the Group Stages
MichaelMwebe retweeted
Another fantastic pre-match montage 🔥
This intro by @gharib_mzinga for yesterday's game between TRA United and @YoungAfricansSC is just so beautiful to watch 😍
@OfficialFUFA are we asking for too much?
I believe this would be a fantastic addition to our league broadcast
European football pyramid is well developed, you can't just copy paste their ideas to the African football pyramid.
We have different challenges, our solutions can't just be copy pasting what is done in Europe.
Show me your exact math. If you expand CAF Champions League to 32 teams and add more spots for the top 12 leagues, you end up with at least 24 top-league teams. What problem are you actually solving?
Replying to @MichaelMwebe
CAF allocates slots based on clubs’ performances in the CL and Confed Cup over a 5-year cycle, rewarding consistent results. Libya lost its places this year, while Mali gained. Nigeria will likely lose one next year and Zambia might gain one, depending on this season’s results.



















