mobappdev (@Mobappdevtz) profile picture
Joined August 2022
Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)Photo by mobappdev (@Mobappdevtz)
Chuo alicho soma Ndunguru na majaji wenzake vibomolewe ili kujenga mabanda ya nguruwe vijana wapate ajira.
32
113
2
705
10,449
Vijana tunapotezana kisa uchawa ..,..mtu unazuga winga kumbe kitengo.unamchukua mtu maerezo arafu unamchoma kuweni makini mtapotea sana wako wengi humu
14
34
5
210
12,187
Kuna jambo la kujifunza hapa kama Taifa
34
197
9,655
mobappdev retweeted
👇
18
101
1
458
14,075
siku zote ukatili unaoonekana ni ule wa wanaoonewa tu dhidi ya wakandamizaji wao. dola linaweza kuteka, kutesa, kufunga, kubaka, kulawiti, na kufukarisha watu kwa miaka. lakini siku moja tu w'nchi wakisimama na kusema, "inatosha," tunaanza kuimba amani, na kuunda matume kibao!
4
95
2
444
5,486
inaonekana ni kama vile mkakati wa waliopo madarakani kuua kabisa demokrasia ya vyama vingi ni kufanya kuwa gharama sana kwa mtu kujiunga na chama mbadala wa ccm. mashambulizi yanayofanywa dhidi ya chadema hayakilengi chenyewe tu, bali yeyote anayegoma kulamba nyayo za watawala!
11
103
3
458
5,611
mobappdev retweeted
Tulishinda vita dhidi ya "Tone Tone" , hakuna vita ngumu kama vita ya kifedha. Hii vita mpya dhidi ya HECHE pia tutashinda asubuhi tuu. Kama utakula hela jiandae kushugulikiwa kwa wivu mkubwa sana. TUPO TAYARI.
15
183
2
1,156
13,725
hakuna mtu anaweza kujinasibisha na mapenzi ya jinsia moja tanzania, hadharani, asikumbane na mkono wa dola. labda iwe ni dola linamtumia, kama ilivyo hivi sasa. lengo hapa ni kutufanya tusahau uhalifu wa dola, na kuelekeza nguvu kwenye kundi dola inajua tunalichukia zaidi. amka!
6
59
3
346
5,634
mobappdev retweeted
Nimeanza kuona MEDIA nyingi zikitumika sasa rasmi kumshambulia HECHE. Juzi Kenan, jana kuna takataka moja sijui inajiita katibu wa CDM, wote wanafanya kazi moja kuonyesha HECHE ndio sababu kuu ya LISSU kufungwa. Hii mbinu tayari alitusanua DADA MANGE week mbili nyuma. Na yalivyo MAJINGA hayabadilishi njia ambazo zilivuja yanasonga mbele kama MANYUMBU. Ukienda kusoma Comments kwenye hizo post ndio utaelewa watanzania sio wajinga. HECHE analindwa kwa wivu mkubwa sana.
18
129
1
769
15,413
Nape anazunguka na maneno mengi kushambulia wanaharakati ili kuficha ujumbe aliotaka kumwambia mama yao kwamba , Kwa sasa CCM inaongozwa na kina Muliro Chama cha Mapinduzi kinatumia dola kufanya siasa Huyu Murilo na Mafwele ndio CCM iliyobaki
3
57
320
14,024
WISDOM AND POWER There is wisdom and there is power. These are two distinct attributes that are often confused. The proper way to defeat a person who relies on power without wisdom is to employ wisdom without power. For ultimately, wisdom always triumphs over power. BAK MWABUKUSI.
6
64
236
4,651
mobappdev retweeted
👇
23
128
1
646
13,873
BREAKING: Trump calls on Gadi Eisenkot to remove bibi- Netanyahu from office and take oath of Prime Minister as soon as possible. Trump wants make a good contact with newly elected Gadi Eisenkot in Israel. Source: Reuters
6
60
1
444
9,376
mobappdev retweeted
👇
7
39
191
5,264
TUNDU LISSU Hapaswi Kua Gerezani
7
184
1
1,159
32,203
mobappdev retweeted
HABARI: Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMA, Sigrada Mligo, amesema amepokea kwa maumivu makali hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza kuwa hakutarajia matokeo hayo.
8
58
2
216
9,612
kukumbuka kwa kuandika tu au kusema chochote kile serikali isichopenda inaweza kukushitaki kwa uchochezi na mahakama ikakupata na hatia. kusema tu, si lazima chochote kitokee. ni miongoni mwa makosa mengi ya kikoloni yaliyobaki kwenye sheria yanayoweza kutumiwa dhidi ya wakosoaji
2
77
1
307
6,998
mobappdev retweeted
🚨HUYO SIO MWANAHARAKATI NI TAJIRI NAMBA 2 ROSTAM AZIZI Anajua michezo ya serikali katili ya CCM na uhuru wa mahakama haupo Tundu Lissu anapambana na crook’s wanaotunga sheria tumuunge mkono tutashinda
48
143
3,349
mimi ndo maana nasema serikali haimaanishi chochote inapozungumza kuhusu sijuwi maendeleo, dira, au kuvutia uwekezaji. yaani upate uwekezaji wa maana katika mazingira ambapo kama serikali ina maslahi kwenye kesi mahakama iko tayari hata kupindisha sheria kuiridhisha? tusahau!
15
124
4
681
9,357