#RutoMustGo• I'm very random• Teacher• Chelsea @chelsea/Charlton Athletic @cafc
Kenya
Joined May 2024
- Tweets78.4K
- Following4.2K
- Followers3K
- Likes66.4K
Pinned Tweet
Fun fact: Hata English names zina regional patterns Kenya. Kuna majina utapata yamedominate certain regions kuliko zingine. Sometimes, mtu anaweza jua region umetoka just from your first name, hata kabla hajajua surname yako. For example ukiskia msupa anaitwa Wendy, Blessy, Bessy jua huyo ni miraa babes. Ukiskia ndume inaitwa Willy(Wilberforce), Wycliffe, Sospeter jua huyo ni wa ingo. Ukiskia swahili names sijui Zawadi, Amani, et al huyo si wa bara.
Lakini ukiskia Edwin Sifuna unajua huyo ndo the 6th president of Kenya.
Birthday za highschool were fun buana kwanza when you're not the culprit. Mimi unajua birthday yangu ni August wakati tuko birthday, sasa mimi ndo nilikua nafurahi kuwekelea watu. Kwanza nilijifunza style fulani hapo unabeba maji na kikombe alafu unaslap mgongo. Hiyo kitu inatoa sauti hata kuliko IED za mandera.
Kuna morio yake ilikuanga July time ya baridi, alafu maji ni insufficient kiasi, sasa hata maji chafu inabidi mmetandika yeye😂
Tulifika form 4 term 3 wakaforce nikue na birthday wanimwagilie maji hata once na hapo ndo nilijua wanaume hueka grudge, jamaa aliniekelea cups tatu za maji nikamshow ntambuyia mandazi anihurumie😭 mgongo iliuma wiki mzima, usiku nilikua naota ni kama mtu ananiwekelea makofi.
Anyway kitu imefanya nimekumbuka hii stori ni mawe fulani nimebeba leo huko mjengo karibu inivunje hiyo mgongo. Sasa hii yote ujue tunafanya ndo tupee baba joji pesa ya kuiba, next year tukipeleka yeye korti tugonge miaka 900 kamiti kama methuselah. Hata mwana wa Nyasae akirudi tutamshow atulie huyo ghasia amalize kifungo kwanza. Anyway, kama kuna mtu kando yako, geukia yeye na umwambie WANTAM, na usimuulize jina juu yeye ndio Sifuna mamae.
A dwarf h!tler retweeted
Tukipanda Mlima H.E @edwinsifuna tutakuwa tumekosea mtu kweli?
Uhuro tigwo ucio adu ah Kinangofu na Nyandarua- Linda Kinangop na Linda Mwananchi💙.
#ChamaYaSifuna #LindaMwananchi
Laptop Model: Mr Prize Evans
YOM: 2001
Colour: Bhajia
Windows tatu kwa bedsitter
RAM: ndogo kuliko ya alionya
Price: chwani ya lipgloss
Location: Moi avenue
Geukia CEO hapo ECB umwambie aseme WANTAM na usimuulize surname yake, alinishow ni Sifuna
A dwarf h!tler retweeted
CORRUPTION SCANDALS
Edwin Sifuna
🤯🤯🤯
William Ruto
• Edible Oil Importation Scandal
• Fake Fertilizer Programme
• Social Health Authority (SHA) Irregularities
• KEMSA Mosquito Net Tender
• Condemned Sugar Disappearance
• Arror and Kimwarer Dams Heist
• Weston Hotel Land Dispute
• The "Hustler Jet" Scandal
• Kenya Pipeline Land Scam (Ngong Forest)
• 2009 Maize Scandal
• YK’92 Funding Controversy
A dwarf h!tler retweeted
Natumaini mko bango bie! Si niwashow kitu moja, kwa H.E. Sifuna mimi sitoki! My commitment is solid. I will campaign for him Free of Charge, both online and mashinani. Hii ni kujitolea kwa mapenzi ya Kenya.
A dwarf h!tler retweeted
As you follow me, please note that you're subscribing to #SisiNdioSifuna narrative. You don't follow me expecting me to sing TUTAM because I'm Kalenjin. I have had and seen enough from this regime. 😁
Kwani ilifaa ikue banger mamae