salma@@ retweeted
Wanawake,
Wanaume si watu wagumu kuwaelewa.
Mpe mwanaume upendo, heshima, ukaribu wa kimapenzi na umjali hata kwa mambo madogo, naye mara nyingi atafanya zaidi ya unavyotarajia kwa ajili yako.
salma@@ retweeted
Tafuta uhusiano unaojengwa kwa upendo, heshima, uaminifu na maono ya pamoja, si mahusiano yanayokumaliza kihisia na kiuchumi.
salma@@ retweeted
Shetani Ndo Adui Yetu Mkubwa Si Ndiyo?
Lakini Ni Nadra Sana Kuona Mtu Akisoma Historia Ya Shetani, Anatumia Silaha Gan Au Mbinu Gani Katka Kuwaangamiza Wanadamu
Umezaliwa Umekuta Watu Wanamchukia Shetan Na We Ukaanza Kumchukia. Pengine Kuna Mengi Ya Kujifunza Kutoka Kwa Adui Yako
salma@@ retweeted
Hakuna mafanikio yanayokuja bila gharama. Kuna muda wa kujinyima, kujifunza, kukataliwa na kuanza upya. Muhimu ni kutokukata tamaa.
Good Morning Family
salma@@ retweeted
Kwani pesa ya mwanaume ikoje na ya mke ikoje maana mimi kwangu jambo likijitokeza iliyopo ndio inatumia yaani kama kuna kitu kinaitajika wakati huo mwenye acces atafanya mfano nimekutana na kitu kizuri cha mtoto nisinunue sababu baba ndio majukumu yake maisha ni kusaidiana 🌚😔 – at Dar es Salaam, Tanzania
Wengi wao ndo wanatakang hivo nawakati havitasaidia chochote,towa pole sikiliza historia kwend kumstri nyumb yake ya milele basi nenda na mishe zako
salma@@ retweeted
Hata aliyeiumba dunia nae pia alijua fika kuhusu life la duniani ndio maana yeye akaamua zake aishi mbinguni 🤔 .
salma@@ retweeted
“Kama tunavyoungana kwenda kumwabudu na kumsifu Mungu, tuungane pia kwa matendo mema, upendo, heshima na unyenyekevu. Maana ibada ya kweli haionekani kwa maneno ya midomo pekee, bali pia kwa matendo ya moyo. Mungu apendezwe na tunachosema na tunachotenda.” 🙏
salma@@ retweeted
Kuna aina ya maisha unayaishi mpaka kulala inakua sio kupumzisha mwili ni kupumzisha miguu.
salma@@ retweeted
Hivi @raphyrodrick weekend yote umekunywa pombe, halafu unataka ngozi ing'ae kwa shingo za kuku?
salma@@ retweeted
No matter how heavy the burden, how deep the disappointment, or how loud your doubts have become, dont stop believing in God.
Not every unanswered prayer is a denial, and not every difficult season is the end of your story.
Keep the faith.🤛🏼

























