A Real Human. Being // Reposts≠endorsements

Ponta do Ouro
Joined April 2015
Replying to @Mwitah_tz
Ukiwa na madaraka na pesa unaweza kujitahidi sana kwa kila HALI, kuchonga stori unavyotaka, kuua watu, kutupa jela na kusingizia kila unachoweza. Ila UKWELI ni UKWELI na haujawahi KUJIFICHA MILELE yote.
1
4
2
20
4,419
Learner✝️🛐 retweeted
Tupate homolia kidogo kutoka kwa baba paroko...
5
19
69
2,424
Most African politicians are unable to build anything from scratch. Beginning from their personal lives. That's why they keep clinging to power, stealing, enriching themselves without owning a single factory or business and make public offices their personal inheritance.
When I visited Kigali for the first time, I was genuinely disappointed. I wondered why Kagame didn’t build a new, well-planned city somewhere else instead of trying to rebuild everything Habyarimana had left behind. It made me think about how African cities could be developed…
1
1
93
Learner✝️🛐 retweeted
Media’s uphill task to maintain public trust thecitizen.co.tz/tanzania/op…
1
260
Learner✝️🛐 retweeted
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa wito wa kitaifa kwa makanisa yote wanachama nchini kuungana katika maombi maalum ya toba, rehema, amani na haki, kuelekea kutimiza mwaka mmoja tangu kutokea kwa matukio ya mauaji na umwagaji damu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Wito huo umetolewa katika taarifa rasmi iliyosainiwa na Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Stanley Hotay ikielekezwa kwa Maaskofu, Viongozi Wakuu, na Wakuu wa Makanisa yote wanachama wa CCT nchini. Katika taarifa hiyo, CCT imebainisha kuwa ni wajibu wa Kanisa kumwomba Mungu kulirehemu taifa na kuponya majeraha ya matukio yaliyopita, ili kuzuia kujirudia kwa umwagaji damu na kuvunjika kwa amani. "Wote tunafahamu kuwa ni takribani mwaka mmoja tangu matukio ya mauaji, umwagaji damu na uvunjifu wa amani kutokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, hivyo kama Kanisa ni wajibu wetu na inafaa tumwombe Bwana, Mungu wetu; Aturehemu na kutusamehe kwa dhambi na makosa wetu kama taifa na kwa kumwaga damu isiyo na hatia katika Taifa". Imeeleza taarifa hiyo. Dkt. Hotay ameongeza kuwa maombi hayo yanadhaniwa kuwafariji waliofiwa na kuleta uponyaji kwa waliojeruhiwa, akisisitiza"Tumwombe Mungu atulinde dhidi ya kurudia matukio kama hayo na atujalie amani, haki, umoja na maridhiano ya kweli katika Taifa letu la Tanzania". Akinukuu Neno la Mungu kutoka 2 Mambo ya Nyakati 7:14, Dkt. Hotay ameitaka jamii kujinyenyekesha mbele ya Mungu, kuacha njia mbaya ili Mungu aisikie nchi na kuiponya. Mbali na maombi ya amani na haki, taarifa hiyo ya CCT imegusia pia utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) unaoonesha uwezekano wa mvua kubwa na maafa, ikihimiza waumini kuomba Mungu kuepusha mafuriko, uharibifu wa mali, mazao, miundombinu, magonjwa, na kupoteza maisha. Dr. Hotay ameeleza kuwa waumini wanapaswa kuomba ili Mungu ajaalie mvua za wastani zitakazosaidia kilimo na ustawi wa taifa, pamoja na kupewa hekima ya kuchukua tahadhari zinazostahili. Akinukuu Maandiko Matakatifu ya Isaya 43:2 na Zaburi 46:1, Dr. Hotay amesema, "Kitabu Cha Zaburi 46:1 kinatukumbusha kuwa: 'Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.' Kwa hiyo, sisi kama Kanisa na viongozi tuendelee kumtegemea Mungu kwa imani, hata katika nyakati hizi za matetesho ya Maafa na majaribu ya amani na haki katika Taifa Letu, huku tukiendelea kutenda kwa upendo na kujenga amani katika jamii zetu". CCT imewataka viongozi wote wa makanisa wanachama kuongoza maombi hayo katika ibada, mikutano ya maombi, na vikundi vya waumini kote nchini.
5
15
2
104
5,585
Learner✝️🛐 retweeted
‼️TAHADHARI MUHIMU YA KIUSALAMA (SECURITY ALERT)‼️ Kwa Wanaharakati na Watanzania mliopo nchini Kenya kwa sababu za kiusalama. Kwanza mnapaswa kujua vyombo vya dola haviwezi kufanya ukamataji nje ya mipaka ya nchi mbinu yao kuu ni kuwatumia watu au mtu wa karibu yako (inner circle) kufanikisha operesheni zao. Ndo maana watu wamekaa Kenya zaidi ya mwaka pamoja na juhudi zote za kuwatafuta hazijawai kufanikiwa kwasababu mpaka wakupate ni lazima wapate kwanza mtu wako wa karibu ambae atawapa info za kuwawezesha kukufikia. Kutokana na hili, ikiwa uliwahi kuwa na ukaribu na Pambalu, kumpatia namba yako ya simu ya Kenya, au kumkaribisha nyumbani kwako, tafadhali tambua kuwa kwasasa upo katika hatari kubwa ya kiusalama. Hatua za haraka za kuchukua 1. Ondoka katika mazingira ambayo unaishi bila kuacha alama yoyote. 2. Badilisha kabisa kifaa chako cha mawasiliano na usitishe kabisa matumizi ya namba yako ya simu ya Kenya ambayo huwa unaitumia kwa normal call, epuka kufanya mawasiliano yoyote kwa njia ya simu za kawaida (normal calls) hata kwa bahati mbaya. 3. Punguza mambo ya kutembeleana kama hakuna ulazima maana ukitulia ndani kwako hakuna mtu ambae anaweza kukufuata na kukubeba, Watekaji wanasubiri utoke njee ndo wapate chance ya kukuteka. 4. Epuka kwenda kwenye shughuli zako siku za WEEKEND hasa Jumapili maana ukifuatilia trend za matukio ya watu kutekwa hasa Watanzania utagundua kwamba matukio mengi ya utekaji yamefanyika siku ya jumapili sababu ni siku ambayo hakuna watu wengi mtaani, hasa muda wa mchana yani kwa kifupi siku ambazo hakuna msongamano wa magari sio salama kwako. 5. Pia zingatia Kenya ina wahanaharakati na wahanga wengi, epuka sana kujuana sana au kutembeleana na kila unayesikia ni Mwanaharakati aliyefika Kenya, kuna ambao wamekuja Kenya kwa malengo maalumu ya kusoma ramani na kuwapa watekaji so kuwa makini. 6. Kwa walio nje ya mji, kaeni kwa tahadhali zaidi sababu inaonekana Watekaji wakiwa nje ya miji wanaweza fanya operation zao bila hofu. Usalama wako unaanza na wewe mwenyewe.
11
89
1
380
15,116
Learner✝️🛐 retweeted
The @LindaMwananchi_ statement on the abduction of Tanzanian activist Twaha Mwaipaya .
134
1,841
34
4,739
63,320
Learner✝️🛐 retweeted
Usiku kucha tumejitahidi kufanya mawasialiano na vyombo vinavyohusika Kenya ili kuweza kupata taarifa ya aliko Twaha Mwaipaya. Tunajua serikali ya Kenya haina sababu ya kumteka Twaha. Lakini pia tunajua sio rahisi hawa watekaji waingie Nchi nyingine wamchukue mtu bila kusaidiwa na watu wa serikali hiyo .. tunamsihi Rais @WilliamsRuto na serikali yake wasaidie kuhakikisha Twaha anapatikana akiwa mzima. Hili litakua doa kubwa sana kwa serikali ya Kenya kuruhusu watekaji kuingia na kumchukua mtu ndani ya mipaka yao.. Kenya ni Nchi ya kidemokrasia kama mtu amekimbilia kwenu na kupata hifadhi hawezi kutekwa akiwa Kenya. Familia tano au sita zimeteka Nchi yetu zinaua, kuteka na kunyamazisha kila mtu anetoa sauti kupinga uovu. Watanzania tusikubali tena huu ujinga. Tunamtaka Twaha akiwa mzima kabisa.
38
357
12
995
34,880
Learner✝️🛐 retweeted
NEWS JUST IN: Tanzanian Activist Allegedly Abducted in Kenya read.kenyans.co.ke/GSC4I
27
226
13
596
40,152
Angalia ubora wa shamba lake. Halafu fananisha na ubora wa shamba la BBT.
BASHE YUPO NA MITIKASI YAKE MINGINE BHANA!
66
Learner✝️🛐 retweeted
Mkuu wa gereza kwenye maswali ya dodoso, alisema wazi mbele ya Jaji kwamba hata mahakama ikiamua yeye hataruhusu watu wala mawakili kumuona Lissu. Leo mahakama imeamua mawakili wamuone Mwenyekiti kwa faragha na waongee naw yeye amezuia, anatimiza alichoahidi wakati wa kesi. Kwahiyo mahakama ni kupoteza mda tu. Mnataka nani afuate amri za mahakama kama nyie mnazivunja.
37
280
5
1,127
25,823
Mwarabu alikuwa DALALI. Hata SULTAN wa Oman alikuwa MSIMAMIZI tu wa KOLONI la Muingereza, hapo Zanzibar. Watumwa walipelekwa Amerika, Ukaya na Carribebean kwaajili ya shughuli za MASHAMBA na VIWANDA. Arabuni ni jangwa na hakuna shughuli hizo.
Swali fikirishi : Kwanini nchi zote za Kiarabu zilizofanya biashara ya utumwa Afrika, zikanunua watumwa Afrika na kuwafanyisha kazi katika nchi zao, lakini hadi leo hatujawahi kuona African settlers katika nchi hizo?? Na hatujawahi kusikia au kusoma ata mara moja kama waliwahi kuwa deported kurudishwa kwenye nchi zao au sehemu yoyote hile hapa Africa. Wale watumwa walipotelea wapi? Wale watumwa hawakuweza kuzaliana huko? Je, walifanywa nini ili wasiweze kuzaliana?
1
80
Learner✝️🛐 retweeted
#SouthAfrica has been betrayed by #JosephKabila, who has now taken the lead of the M23 rebel group. I believe #ThaboMbeki must come and answer these questions, because he was the one defending Kabila. Kabila is a disgrace to all Former African Presidents. What a shame!
13
111
6
256
10,978
Kiuhalisia wengi wanaojiita watu wa dini, huabudu pesa na wanasiasa wenye madaraka. Masuala ya pepo na mbingu wanaambiwa wafuasi wao tu. Imagine, mtu anajiita mtu wa dini halafu ANAMCHUKIA mtu kwasababu mtu huyo anachukia UOVU.
Ila hizi dini za wabongo bana kwa hiyo kuna dini zinachukia kabisa TEC kuandaa misa kuwakumbuka wenzetu walioliwa kikatili 29 Oct. Na tena hao viongozi wa dini bado wanajiita watu wa Haki na wanampenda Mungu sio matako Yao kabisa😆
1
3
6
284
Tanzania Has 1,400 Kilometres of Indian Ocean Coastline and Has Developed Almost None of It. Pangani, Kilwa, and Mafia Could Change That. Tanzania has more than 1,400 kilometres of Indian Ocean coastline whose development has been concentrated almost entirely in Zanzibar, leaving Pangani, Kilwa, Mafia Island, and large stretches of mainland coast undeveloped relative to their investment potential. A concept for three Special Resort City Development Zones proposes Pangani as a heritage, wellness, and retirement destination positioned as the quieter Zanzibar alternative; Kilwa as East Africa's cultural and heritage tourism capital whose UNESCO-recognised Kilwa Kisiwani and Songo Mnara ruins provide the historical foundation for an African Dubrovnik positioning; and Mafia Island as Tanzania's luxury flagship whose marine park, whale shark tourism, and exclusive island setting support a Mauritius of East Africa competitive positioning. Combined infrastructure requirements include aviation expansion, coastal highway upgrading, utility provision, and marina development. The policy framework requires Special Resort City Zone designation, streamlined investment approvals, targeted hospitality investment incentives, coastal planning authorities, and environmental asset protection. The economic case is built on diversifying Tanzania's tourism revenue beyond Zanzibar, attracting international resort and real estate investment, creating coastal employment outside Dar es Salaam and Zanzibar, and generating foreign exchange earnings from a coastline whose natural and cultural assets are already present. Tanzania does not need to manufacture the tourism proposition. The assets exist. What the concept proposes is the planning framework, investment facilitation structure, and infrastructure investment whose combination converts existing assets into developed destinations. Tanzania's tourism decade has been defined by Zanzibar. The next decade could be defined by what Tanzania builds on the 1,400 kilometres of coastline that Zanzibar's success has overshadowed. uchumi360.com/o/p/tanzania-4…
5
18
1,005
I really hate most people who think they just deserve the good things built and kept by others. You can’t run from your country problems, then show up to enjoy once things get fixed. Who exactly is supposed to develop your place for you?
#BurkinaFaso : Déception des Étudiants retournés au pays. 372 Burkinabè avaient choisi de retourner au Burkina Faso pour poursuivre leurs études. Ils découvrent que les infrastructures présentées au monde c'etait de l'IA. "On est 5000 dans les amphi , ya pas de bus ..."
1
1
93
moja kati ya nyaraka muhimu sana kuwahi kuandikwa. miaka 81 baadaye, licha ya changamoto nyingi, ‘vision’ ambayo wazee wetu hawa waliiweka kwenye maandishi hapa inabaki na umuhimu uleule, kama siyo maradufu zaidi:
2
21
84
5,820
Learner✝️🛐 retweeted
Yesterday outside the Tanzania Embassy in Washington DC we read the 675 names of people who were shot dead in last year’s sham elections. We also read aloud the 191 names of those who disappeared. These are the only names we could collect. Thousands were shot. Judge Chande’s commission acknowledged over 700 disappeared and 518 killed — without naming a single one. #FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo @UN @UN_HRC @UNHumanRights @UN_News_Centre @UN_Spokesperson @UN_Women @commonwealthsec @SFRCdems @SenateForeign @statedeptspox_a @StateDept @UNICEF @AUC_PAPS @EUinTZ @EU_Commission @TMFoundation_ @StateDept @StateDeputySpox @statedeptspox #AccountabilityForTanzania #MaternalHealthMeansAllMothers #TanzaniaMassacre
4
75
2
171
3,505
Let our rich folks who call themselves “the wealthy people” keep investing in boda bodas, selling jeans, and buying political titles so they can steal, buy Bugattis and park them under the AC, as they can't drive them because the roads are just alleys anyway.
2
5
104