Travis (@TravisKiteng) header
Travis (@TravisKiteng) profile picture

H I V + || 8.9 inches 🍆|| UTOPIA

Tanzania
Joined July 2025
Photo by Travis (@TravisKiteng)Photo by Travis (@TravisKiteng)Photo by Travis (@TravisKiteng)Photo by Travis (@TravisKiteng)Photo by Travis (@TravisKiteng)Photo by Travis (@TravisKiteng)Photo by Travis (@TravisKiteng)Photo by Travis (@TravisKiteng)
Travis retweeted
A very long day for us.. October 29!💔😭
3
45
135
1,632
Umepita mwaka mmoja toka nimpoteze mshkaji wangu niliesoma nae na kushare nae moments nyingi sana. Until we meet again brother 🕊️ 29/10/2025
14
62
2
199
5,216
Travis retweeted
Walichukua uhai wa Tina binti mpambanaji Mama wa mtoto mmoja na nguzo ya familia... #HatutaSahau 29/10🕊️🕯️💔
31
174
3
507
5,559
R. I. P 💔🕊️
4
60
117
869
Travis retweeted
Nauli ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine inazidi au inakaribia sawa na kutoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ha mkoa huo huo, hii ni kutokana na hali ya miundombinu.
4
21
73
901
October 29, been a year kama utani REST IN PEACE MASTER TINDWA😔🙏 We don’t blame the bullet that took your life, we blame those who allowed such a barbaric act to be committed against innocent civilians The bullet pulled the trigger, but those who enabled this atrocity must be held accountable🤝
21
130
2
389
4,832
Tarehe 29.10.🙌🏻🥺
5
24
72
1,595
🕊🕊🕊
17
47
445
X Familia tunaendelea kukuombea Clara🙏❤️Pumzika kwa Amani.
Au leo sio tarh 29..!!? Au saa 12 asubuhi bado..!? 🌚
51
283
5
823
8,408
Travis retweeted
Kama kuna mtu niliyemkosea kwa maneno, matendo au kwa namna yoyote ile, naomba anisamehe. Maisha ni mafupi, na hakuna ajuaye kesho yake. Tuchague upendo, amani na kusameheana kabla haijawa too late. Pia, tuwakumbuke marehemu wetu katika sala na dua. Mwenyezi Mungu awarehemu wote waliotutangulia, awape pumziko la milele na awafariji wote waliobaki na majonzi. 🤲🕊️ Tusisubiri msiba ndipo tujifunze kupendana, na tusisubiri kesho kuomba msamaha. ❤️
14
80
218
4,727
AMEPOTEA ANATAFUTWA👇👇 Kaka habari za asubuhi najua unafollowers wengi sana mkuu naomba utusaidie kusambaza taarifa hii mwenzetu ana siku ya 9 leo amepotea tulianza nae chuo pale UDSM mwaka 2023 tulipokuwa mwaka wa pili 2024/2025 alipata scholarship akaenda nje kusoma kwahyo sisi tumeshagraduate mwaka huu mwezi huu alikuwa nchin kama sehemu ya mapumziko katika masomo yake lakin ametoweka tu bila kujulikana alipo siku ya 9 leo AMEPOTEA bila kujulikana halipo Wala kupatikana kama unataarifa yake yeyot au mawasiliano nae, au chochot kitakachotusaidia kumpata tafadhari, tusaidie 🙏🙏🙏 Tutumie ujumbe +255 627 158 581
1
9
22
385
October 29/2025 💔 siku kama ya leo Watanzania wenzetu waliuawa kikatili 💔 Ni siku yenye maumivu makubwa katika historia yetu, siku ambayo mioyo mingi ilijeruhiwa na kumbukumbu zake hazitafutika kamwe. Hatutawasahau. 🕊️🪦🇹🇿 – at Dar es Salaam, Tanzania
9
66
106
741
Travis retweeted
29th October. A day Tanzania will never forget. We remember the lives lost, the pain endured, and the voices that must never be silenced.
16
216
2
512
5,371
29/10/2025
1
21
1
43
604
Travis retweeted
Wajuzi wa mambo hapa tunatokajee??
14
25
46
2,027
Travis retweeted
29 october
3
73
190
1,380
Travis retweeted
Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zetu wote waliopoteza maisha siku kama ya leo mwaka 2025 Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un 🤲🏿
17
124
1
309
3,476
Travis retweeted
Humu ndani hamna madereva wa malory ?! Au hamna ndugu wanatafuta kazi za malory?? RT tangazo liwafikie wengi.
7
36
5
73
3,481
Travis retweeted
Hao wanaosema walikua wahalifu hivi ni watu wa Mungu kweli?💔😭
17
49
2
133
3,899
29/10. In my head daima💔 – at Kenya
15
126
254
2,659