MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin) header
MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin) profile picture

Umemfolo Mwanachama Wa CCM😁😁

MBEYA
Joined April 2023
Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)Photo by MWALIMU🙏🇹🇿 (@dictatorbin)
Wazee wa Madini mpo Tayariiiiiiii🙌🙌🙌
2
16
25
648
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Chimbo la Vijana Geita Vijana mpo Tayari
7
1
7
177
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Sekta binafsi yajivunia Dkt. Samia Suluhu Hassan Ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ni sehemu muhimu katika kukuza uchumi, kuvutia uwekezaji na kufungua fursa zaidi kwa Watanzania. Kujivunia kwa wadau wa sekta binafsi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kunaakisi namna wanavyotathmini juhudi za Serikali katika kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini.
12
11
197
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
SASA NI ZAMU YA ARDHI YENYE MADINI YAKE GEITA🙌 Basiiiiiiiiiiiiìii✊️ Simu zimeita Vijana Wanaenda na fursa,Wapenda kujifunza,Na kupenda kutoa uchovu nikimaanisha burudani sasa Chimbo la vijana Limetua✊️
6
8
91
📍2026 tunakutana Geita kwa nguvu mpya! CHIMB LA VIJANA BRUNCH ni zaidi ya tukio; ni jukwaa la kuunganisha vijana, kujenga mitandao na kufungua milango ya fursa. Matukio makubwa, ushiriki mkubwa, fursa nyingi! #Tumokwenyebatalachimbo 💪
12
10
188
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Nimetazama picha za nyumbani kwao Chiba nimebaki mdomo wazi kwa mshangao yaani. Chiba na Maria akili zao ziko sawa na ukitaka kujua angalia mazingira ya nyumbani kwao wote wawili yalivyofanana. Jamani jengeni kwenu kuna siku mtakufa mtatia aibu sana!.🚮
7
6
10
4,186
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Sekta binafsi imepata kiongozi mpenda maendeleo Rais Dkt. Samia suluhu na wazawa sasa ni wanawezeshwa kuwekeza ili kunufaika na fursa zilizopo nchini.
7
7
130
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Chimbo la vijana ni fursa ya kupata Elumu, mafunzo, huduma za jamii, fursa za ajira na biashara, burudani pamona na michezo vyote ni sehemu yake. Geita ✍🏿✍🏿
9
8
105
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Geita ✅
7
6
84
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Chimbo la vijana Geita
8
1
7
117
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
📍 Sekta binafsi yapongeza uongozi wa Rais Samia. ✓ Yatambua juhudi za Serikali katika kuwawezesha wazawa kunufaika na fursa za kiuchumi nchini. ✓ Yaitaka Wizara ya Madini kuwa mfano wa kuigwa katika utendaji na usimamizi kwa wizara nyingine.
7
6
99
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Chimbo la vijana 2026 Simu imepokelewa Geita ✍🏿✍🏿
6
6
100
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Ni siku nyingine ya kumshukuru Mungu kwa zawadi hii ya uhai. Tuna kila sababu ya kuamini tutapata kila hitaji letu. Good morning wasakatonge.
20
27
31
452
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Na kazi ya haki itakuwa amani, na mazao ya haki yatakuwa utulivu na matumaini daima. (Isaya 32:17)
4
7
140
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Usisubiri muda sahihi, tengeneza muda wako, fanya kazi kwa bidii na acha matokeo yazungumze Good Morning Friends
7
9
14
264
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Kila familia kuna yule mtu anaimbaga kwa sauti kubwaa bila sababu 😂
9
17
1
28
352
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Good morning friends 🧡 of mummy innaya 😘. Blessed day 🙏
31
36
68
569
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Mkumbushe mwanao kuwa "Hofu ya kuanza upya isimfanye kuwa mtumwa wa MAUMIVU"✍️. Good Morning Champions✌️.
13
20
27
415
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Kama kawaida yetu tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu. Good Morning X Family.
13
14
25
364
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
If you need 1k+ followers Say SDV 👋 I will boost your page. 🦈🐠
217
21
111
1,849
MWALIMU🙏🇹🇿 retweeted
Maisha!! ni mafupi sana kuhifadhi vinyongo,kisasi na chuki. Amka asubuhi nawa uso nenda kazini. Good morning…👏 🇹🇿
16
17
27
328