Mori Sawa (@hammy_uncle) profile picture

#Reason, Judge, Think critically.

Joined September 2019
Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)Photo by Mori Sawa (@hammy_uncle)
#TajiriLaKihaya 2/2 Lakini sisi kama wananchi tunaweza kumwambia; “Lissu, sacrifice yako tumeiona. Umefanya vya kutosha. Hakuna mwenye mashaka na uzalendo wako, ujasiri wako wala kujitolea kwako. Hatukudai tena ujithibitishe kwetu kwa kuendelea kuteseka.” Kama kuna mtu anayepaswa kusema “enough”, ni sisi. TUSIWE NA UNAFIKI Watu wengine wanasema: “Lissu apate haki mahakamani.” Sawa. Lakini swali langu ni, Kama unaamini kila kitu kitamalizika kwa haki kupitia mahakama, kwa nini baadhi yenu mko nje ya nchi badala ya kurudi hapa mkafanye mapambano hayo hayo ndani ya nchi? Kama kukaa gerezani ni jambo rahisi kiasi hicho, basi rudi nchini. Kaa na Lissu. Ombeni mshikwe pamoja naye. Msikae nje mkitoa tweets kila siku kuhusu sacrifice ambayo mtu mwingine ndiye anayelipa. NA KWA WANAHARAKATI… Hatutaki tweets. Tunataka action. Kama kweli Lissu anapaswa kuendelea kupigana, Rudini nchini. Simameni naye. Nendeni polisi pamoja naye. Ombeni kukamatwa pamoja naye. Andamaneni kwa amani. Tumia njia zote za kisheria kushinikiza aachiwe. Lakini kama hamko tayari kufanya hayo, basi msimlazimishe mtu mwingine aendelee kulipa gharama ambayo ninyi hamko tayari kuilipa. Tweets haziwezi kuchukua nafasi ya strategy. NA WANAOSEMA HII NI CAMPAIGN YA CCM… La hasha. Mimi nazungumza kwa sababu naamini CHADEMA inahitaji kuishi na kuendelea kupambana. Sina sababu ya kuitakia CHADEMA ishindwe. Kinyume chake. Nataka CHADEMA ipate nafasi ya kujipanga upya. Iweke mikakati mipya. Iijenge organization yake. Iwarejeshe wananchi wake. Ijenge nguvu mpya ya kisiasa. Na ikifika wakati wa uchaguzi mwingine, iwe na uwezo mkubwa zaidi kuliko ilivyo leo. Strategic retreat siyo defeat. Wakati mwingine unarudi nyuma hatua moja ili uweze kusonga mbele hatua kumi. NAWASIKIA WANAOSEMA: “TUSIKUBALI CHOCHOTE.” Sawa. Lakini basi tuambiane WHAT IS THE PLAN? Kwa sababu huwezi kusema: “Tusikubali maridhiano.” Halafu hakuna alternative strategy. Lissu aendelee kukaa gerezani. Wananchi waendelee na maisha yao. Serikali iendelee na shughuli zake. Wanaharakati waendelee kutweet. Mataifa ya nje yatoe statements. Halafu tunategemea nini? Miracle? Politics haifanyi kazi hivyo. MWISHO Mimi naamini tulifika mahali fulani. Tulipigana.Tulisusa.Tulisimama. Lissu akasimama. CHADEMA ikasimama. Wananchi wakatoa ujumbe wao. Lakini sasa reality imebadilika. Na mwanasiasa mwenye akili anatakiwa kubadilisha strategy pale mazingira yanapobadilika. Hatupaswi kuwa prisoners wa decisions tulizofanya jana. Tukubali yaishe pale ambapo hakuna tunachoweza kubadilisha kwa nguvu tuliyonayo sasa, halafu tujipange upya. Kwa sababu mwisho wa yote, siasa siyo mashindano ya nani atateseka zaidi. Siasa ni kutafuta matokeo. Na kwa sasa, result Tunayoitaka ni moja: LISSU ATOKE GEREZANI. Baada ya hapo, CHADEMA ijipange. Wananchi wajipange. Na mapambano ya kisiasa yaendelee. Lakini tusimlazimishe mtu mmoja aendelee kujitoa mhanga kwa ajili yetu wakati sisi tukiendelea na maisha yetu kama kawaida. Lissu ametufanyia vya kutosha. HATUMDAI TENA. Sasa ni wakati wa sisi kumlinda yeye.
#TajiriLaKihaya KWA NINI NAUNGA MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya tarehe 29 Oktoba. Kipindi hicho, sisi wote tuliungana na kauli mbiu ya KUTOKUPIGA KURA. Wakati huo hakuna aliyekuwa anazungumzia maridhiano. wananchi walitekeleza wajibu wao. Watu walikataa kushiriki Uchafuzi. Lakini kuna ukweli mwingine mchungu, Dunia haina haki siku zote. Pamoja na kususa kwetu, CCM iliingia madarakani. Tulifanya sehemu yetu kama wananchi, lakini watu na mataifa tuliodhani wangetusaidia zaidi hawakufanya tulichotarajia. SASA TUANGALIE HALI HALISI Immediately baada ya uchaguzi na kile kilichotokea, CHADEMA na Lissu walikuwa na bargaining power kubwa sana. Kulikuwa na pressure kubwa ndani ya nchi. Kulikuwa na attention kubwa kutoka nje. Kulikuwa na hasira kubwa miongoni mwa wananchi. Na serikali ilikuwa kwenye pressure. Kwa mazingira yale, kama CHADEMA na Lissu wangekubali kukaa mezani kujadiliana, nguvu yao ya majadiliano ingekuwa kubwa sana. Lakini hawakukubali. Walitegemea kwamba nguvu ya umma ingeendelea kuwa nyuma yao. Ninaelewa kabisa kwa nini walifanya hivyo. Lakini politics is also about timing. Kadri muda ulivyokwenda, maisha yaliendelea. Serikali ikaanza kujiweka sawa. CCM ikazidi kuwa comfortable. Wananchi waliendelea na shughuli zao. Jumuiya ya kimataifa nayo ikaendelea na agenda zake nyingine. Na sisi tuliobaki hapa tukiumia mioyoni, tuligundua kwamba hasira peke yake haitoshi kubadilisha mfumo. NA HAPA NDIPO TATIZO LILIPO Lissu bado yupo rumande. Wananchi wanaumia. Wanaharakati wanatweet. Wanasiasa wanatoa matamko. Lakini ukiangalia maisha ya kila siku, nchi inaendelea kama kawaida. Na hili ndilo swali ambalo kila mmoja wetu anapaswa kujiuliza, Ni madhara gani halisi ambayo Serikali inapata leo kwa Lissu kuendelea kuwa gerezani? Kama jibu ni tweets, hashtags na statements chache, basi lazima tukubali ukweli kwamba pressure yetu imepungua sana. Hiyo ndiyo reality. Si kwamba wananchi hawampendi Lissu. Si kwamba watu wamesahau walichofanya. Ni kwamba maisha yanaendelea. Na kwa kadri muda unavyokwenda, bargaining power ya Lissu na CHADEMA inapungua. SASA TUSEME UKWELI MWINGINE MGUMU Mimi siamini kwamba Lissu atapata haki kwa kutegemea mfumo wa mahakama pekee. Ningependa iwe hivyo. Ningependa mahakama iwe huru na haki itendeke. Lakini politics haijengwi kwenye “ningependa iwe hivi.” Tunapaswa kuangalia reality on the ground. Afrika imejaa mifano ya wapinzani ambao wamekaa miaka wakisubiri haki huku wananchi wakiendelea na maisha yao. Mfano wa Kiiza Besigye Uganda unatufundisha kwamba hata pressure ya kimataifa inaweza kuishia kwenye matamko, wakati mtu mwenyewe ndiye anayebaki akiteseka. Kwa hiyo kama njia tuliyonayo sasa ni kusubiri mahakama, kusubiri mataifa ya nje, au kusubiri wananchi waendelee kutweet… Lissu anaweza kuendelea kusota gerezani huku sisi tukiendelea na maisha yetu. Hilo mimi silikubali. MARIDHIANO NINAYOYASEMA SIYO KUUNGANA NA SERIKALI Hili watu wengi hawalielewi. Sijasema Lissu aungane na Serikali. Sijasema CHADEMA iunge mkono CCM. Sijasema CHADEMA iachane na misimamo yake. Sijasema tusahau yaliyotokea. Ninachosema ni kwamba lazima tutafute njia ya kumtoa Lissu gerezani. Kama meza ya mazungumzo ndiyo njia iliyopo, basi kaa mezani. Negotiation siyo surrender. Kukaa mezani siyo usaliti. Compromise kwenye jambo moja haimaanishi umesalimisha kila kitu. Mwanasiasa mwenye akili anatakiwa kujua wakati wa kupigana, wakati wa kusubiri na wakati wa kujenga strategic retreat. NA KWA LISSU MWENYEWE… Sidhani kama tunapaswa kumuwekea pressure Lissu kwamba lazima yeye mwenyewe aseme, “Nataka maridhiano.” Kumbukeni historia. Mtu aliyepitia mazingira haya hawezi kuonekana kama anajitoa kwa urahisi. Na kauli yoyote atakayoitoa inaweza kutafsiriwa kisiasa. Inapaswa tumuambie hivi…. 1/2
84
24
9
78
23,135
Wazungu/Wamarekani wengi wao wakisikia Africa wanajua ni nchi!! Wanajua ni kanchi kamoja tu!! Hawajui kama ni bara na ndani yake ndio kuna nchi, kuna Msumbiji/Egypt/Angola/Malawi na kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine ni hadi 7hours ✈️ Na alioko Tanzania anaweza akawa hajawahi kabisa kufika Cameroon wala hawajui watu wa Cameroon!! The same to Africa!! Waafrica wengi wakisikia Marekani wanajua Marekani ni Nchi tu!! Na hizo states ni kama mitaa tu!! Ndio maana unaweza sikia mtu bongo anakwambia Babu uko hapo DC unashindwaje kwenda Las Vegas chap kwa kucheki fight!! Hajui kama DC to Vegas ni sawa sawa tu na yeye ambavyo yuko Tanzania anashindwa kwenda Ghana kucheki show fulani au mechi ya soka!! Wengi wanajuaga states ni mitaa tu sinza- Kinondoni!! Au ni miji tu Dar-Morogoro!! Geography & History ni changamoto bado!!
58
112
7
1,123
77,865
✍🏾 @Dully47 ✍🏾 @hammy_uncle ✍🏾 @robkidayo_
1
2
7
2,834
Mori Sawa retweeted
✅✅⛳⛳💥 TUMEAKA NA PESA YA SUPU😋 Zile odds 574+ za jana, bado mechi 25 tuchukue 3.5M yetu toka Sportybet. Treni la leo Jmosi-Jpili lipo tayari, Kuna jumla ya odds 185+. Kampuni ni Sportybet. Kwa 20K unakula 3.8M Link ya WhatsApp⤵️ chat.whatsapp.com/DWXHEYPqSJ… RETWEET UPATE CODE MAPEMA.
2
21
30
2,796
Mori Sawa retweeted
✅✅⛳⛳ Sportybet Treni Dar - Dom, mechi 50 odds 900+. Leo Ijumaa usiku hadi Jumapili. Corners na goli moja lipatikane kila mechi (Over 0.5). RETWEET UPEWE CODE MAPEMA. WhatsApp Group ⤵️ chat.whatsapp.com/DWXHEYPqSJ… 📌
12
42
2
63
6,613
Mori Sawa retweeted
Siku nyingine MAHAKAMANI. Kama upo mbali hutaweza kufika MAHAKANI—kaa karibu na ukurasa huu. Mualike na mwenzio. REPOST. #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
16
183
833
19,157
Kesi ya uhaini aliyopewa Mwalimu wangu na Mwenyekiti wetu, Wakili Msomi Mwandamizi Tundu AM Lissu, itaanza kusikilizwa tarehe 8.9.2025. Sisi Mawakili wake tuko tayari. Yeye yuko tayari. We will be there no matter what. #IamTunduLissu #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection
27
237
3
918
12,199
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama tumpe retweet 1000
160
1,671
21
5,271
110,528
Babu Usitukane matusi Hapa 🤣🤣🤣
1
1
179
Retweet
567
2,086
64
4,953
210,959
Bro kama unafanya kazi na unapokea Take home kuanzia 500k hadi 1M, nipe muda wako nikupe wazo la kibiashara linaloweza kukuinua kiuchumi kwa muda mfupi. Usitazame kiasi kidogo cha mtaji nilichokutajia ukaanza kubeza, wewe nipe muda wako kwa kusoma hapa hutatoka bure.
230
612
15
3,066
354,522
Mori Sawa retweeted
RASMI NTOBI NI MKUNJA NGUMI.✊🏾 Repost 200 kwa FURAHA.🔥🔥🚀🚀
100
368
10
1,699
68,787
RT moja yenye hadhi ya nyota mbili kwa Simba tafadhali..
91
125
4
1,902
58,780
TAARIFA KWA UMMA. #WenyeNchi #NguvuMoja
490
401
159
2,447
237,926
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 Jez za Zaman (Vintage) 35,000/= 0714336827 #MIKOA YOTE TUNATUMA
36
188
1
212
16,086
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki. Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
2,443
733
354
6,146
1,180,763
MUSTAKABALI WA TLS 2024 - 2027 Kama nilivyowaahidi siku ya Mdahalo kuwa atakayeshinda kwenye uchaguzi wa TLS atapewa heshima ya kipindi maalumu kwenye MEDANI ZA SIASA. Hivyo usiku wa leo 03/08/2024, nitakuwa na Rais mteule wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi. USIKOSE @chiefodemba @Mwabuk2Boniface
130
403
21
2,166
56,150
Huku Goba wenzenu hatulali Jamani,Mrembo analia kama kafiwa Limegoma kunyamaza kaabisaaaaaa sijui nani kalitonya Mzee wake katimuliwa...! Au Mzee wake alificha Rimoti, kaibonyeza makusudi baada ya Kutimuliwa. Tukishindwa kulinyamazisha tunaligonga nyundo ya Kichwa Napiiiiiii Napiiiiiii Napiiiii Napiiiiiiii Shenzi sanaaaaaa..!
211
138
13
1,629
164,363
Mori Sawa retweeted
Small 𝕏 Accounts grow FAST. Like & Repost for instant followers 🫴🏼🖤
22
12
48
2,018
Replying to @IAMartin_
@IAMartin_ @MiriamMkanaka @amprincess9 @TitoMagoti @iamcleopatricia @TweveDevota @ExMayorUbungo Hawa watu Mungu awaweke sana aisee Mioyo yenu imebarikiwa kwaajili ya watu Tunawaombea na tunawapenda mno mno
4
11
39
1,930