
updates about all the artists ,latest news and gossips #stay tuned and switch on your notifications
Joined April 2020
- Tweets186
- Following0
- Followers69
- Likes1.3K
Kapeloo Gamba retweeted
Aiseee.......kumbe ndiko tulikofika!!! Zitto is this from you my brother ? Haya chochea Moto ! Kwamba kuna watu wanawachukia Wazanzibar isipokuwa wewe! Kwamba kuna watu wadini ,isipokuwa wewe! I'm speechless! Nakumbuka Maneno yako pale hotel ya Golden Tulip, Muda utaamua!
Kapeloo Gamba retweeted
MKOME sasa! Mlijitia kiherehere wakati waliowatuma wakakimbilia nje ya nchi na watoto zao na wake zao! Mwingine maneno mengiiiiii aligalagala getini pale Umoja House utadhani siyo yeye mwenye kauli za kishujaa majukwaani
Yuko wapi mtoto wa Lema, Msigwa,Spika wenu au sultani?
Kapeloo Gamba retweeted
Tumepokea taarifa kutoka Dodoma, kambi ya Magufuli bado ina nguvu sana. Pamoja na kuwaita Gwajima, Silaa na Polepole: Kamati Kuu ya Halimashauri Kuu CCM imeingia hofu sana. Ndugai amekua mkali. CCM imeamua haitawafukuza wanachama hawa bali itawapa onyo na kuangalia mwenendo wao.
Hii dhana(hypothesis) nilifundishwa kitambo ila bado nazidi kuielewa taratibu. Maskini anapopata maskini wenzake wanapatwa na maumivu makali ya moyo.Tajiri akipata zaidi na zaisi maskini hao hao wanamshangilia. Mo, Manji, GSM, Dangote na Bakhresa wakipata tutashangilia. Mwenzetu?
All the best @diamondplatnumz ...if you win or not, you will still remain the winner...your life is message 🙏🙏🙏 @wasafitv
The world should realize that the majority of Tanzanians support @diamondplatnumz to win the #BETAward2021. The Hate campaign against Diamond is carried out by very few activists who have personal issues. Entertainment should be distanced from Cheap Politics. #BETAward4Diamond
Najiuliza ikitokea wasanii wote mnaungana mnajitoa basata, Hao basata watafanya kazi nanani? Wasanii unganeni kupinga hili @Roma_Mkatoliki @HildaNewton21 @nikkwapili @diamondplatnumz
Mimi si mwanasia ila najiuliza kitu kimoja tu ikatokea nchi akaichukua Tundu Lissu hawa Askari wanaotumika kuvuruga mikutano ya Lissu watahamia nchi gani? @halimamdee @fatma_karume @zittokabwe @kigogo2014 @HecheJohn @TunduALissu @godbless_lema @Naytrueboy @Roma_Mkatoliki
Kapeloo Gamba retweeted
Jaribu kua na maneno ambayo yanakujenga, popote unapozungumza iwe nyumbani, kijiweni, shuleni kazini, kwa marafiki au kwa mpenzi chagua maneno yanayo kujenga, epuka kua na maneno yanayo kubomoa....maneno yanaumba, jiumbe vizuri – at Dar es Salaam, Tanzania
TUMIA NAFASI YAKO KAMA MWANAUME KUJUA THAMANI YA MWANAMKE,NA SIYO KUMWALIBIA THAMANI YAKE NA KUMWACHA,NA KUTAFUTA MWINGINE
Hello mpendwa uhari gani,,
Leo naomba ni seme na wanaume wenzangu,,,maana kuna baadhi ya wanaume hutumia muda wao wa kutosha kuharibu wanawake, hutumia muda
Kapeloo Gamba retweeted
One billion views for Almasi 😳👏👏👏 congratulations... naskia ndio mwafrika wa kwanza kutoka kusini mwa jangwa la sahara.. Tungekua na umoja tungekuandalia kahafla flani nakukukabidhi tuzo,lakini🤷♂️
Ubunifu wa @Roma_Mkatoliki ni kielelezo tosha kuwa wewe ni mwana harakati hongera sana
Wameshindwa bungeni wanaanza kuwafatilia waandishi wa habari na kuanza kuwazarilisha
Ukiskia ya huko makao yanatia hasira acha tu nimalize bando langu kwa haya nisije kufatwa na wenye mamlaka zao @halimamdee @JideJaydee

















