Tanzanite (@Tanzaiite) header
Tanzanite (@Tanzaiite) profile picture

Firm pursuit of justice 🇹🇿 Advancing universal human rights through transparency, systemic accountability & dignity."🌱No one is too small to make change 🕊️

Joined May 2026
Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)
Uyu ndio mtu sasa sauti ya mamlaka
1
4
12
240
Kwendeni zenu! Hamna mwenye BACKBONE (au BALLS) huko CCM kumwambia Abdul ukweli! Mnaendeshwa na teja Form Four failure anayejificha nyuma ya sketi ya mama yake who is not the brightest apple in the barrel either! Leo mnaona CHUKI na HASIRA za wananchi dhidi yenu mnajitilisha huruma! The entire country HATES y’all green monsters na kimama chenu! Hata wanachama wenu wa kawaida wanawachukieni MNO! Bado kidogo tutafika! Midume mizima mnatishwa na huyo mpuuzi mnapokea maagizo HARAMU ?! Eniwei breathe in the Hatred na mjiandae hii ikilipuka hakuna majeshi yatakayoweza kuwalinda! Mark my words! #FreeTunduLissu
23
68
6
287
15,229
WISDOM AND POWER There is wisdom and there is power. These are two distinct attributes that are often confused. The proper way to defeat a person who relies on power without wisdom is to employ wisdom without power. For ultimately, wisdom always triumphs over power. BAK MWABUKUSI.
6
44
146
2,711
Tanzanite retweeted
Leo ni siku ya 14 tangu DIKTETA JIKE amteke Twaha Mwaipaya mpaka sasa hatujui kapelekwa wapi. #FreeTwahaMwaipaya
2
39
1
175
2,523
Enough statements, @EUinTZ @AnouarEUspox. Lissu got 4 years on a charge he wasn’t tried for after 19 months arbitrary detention. “Closely following” changes nothing. Time for targeted sanctions. #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
Statement by the European Union's Spokesperson for Foreign Affairs on the sentencing of opposition leader Tundu Lissu. link.europa.eu/jT6QFW
3
28
1
79
1,588
Tanzanite retweeted
Kuna Ibada Zinakuwa nzuri unatamani muendelee tu. Unatamani kila unaposomewa neno moja liwe na sadaka yake. Huu ndio Ukristo na haya ndiyo mafundisho bora
1
113
3
381
9,683
TANZANIA HAS A MUCH BIGGER CRISIS BREWING THAN WHAT THE WORLD IS CURRENTLY SEEING ON THE SURFACE. MY WHATSAPP, SIGNAL, AND TELEGRAM INBOXES ARE FLOODED WITH MESSAGES FROM YOUNG PEOPLE ASKING HOW THEY CAN ESTABLISH CONTACTS WITH PAUL KAGAME AND JOSEPH KABILA. BECAUSE OF THE BRUTAL KILLINGS THAT HAPPENED DURING THE OCTOBER 29 2025 PROTESTS, YOUNG TANZANIANS ARE NO LONGER SEEING PROTESTS AS A SOLUTION. THEY ARE BEGINNING TO LOOK TOWARD ARMED RESISTANCE. THEY ARE ASKING FOR GUNS!!!! THE INTERNATIONAL COMMUNITY MUST INTERVENE URGENTLY BEFORE TANZANIA DESCENDS INTO ANOTHER CONGO-LIKE CONFLICT. THE WORLD CANNOT STAND BY AND WATCH SAMIA SULUHU DESTROY A COUNTRY THAT WAS ONCE CELEBRATED FOR ITS PEACE AND STABILITY. THE WARNING SIGNS ARE ALREADY THERE. THE WORLD MUST NOT WAIT UNTIL IT IS TOO LATE. (I intentionally wrote in all CAPS)
This quoted post is unavailable.
29
133
5
866
45,213
Ni kweli, Nape angetulia aangalie afya yake. He looks unhealthy. Yani hayuko sawa. Eti wanaharakati wanafanya wanasiasa wasipendane. Yani kaongea upuuzi. Baada ya wananchi kuuliwa October 29 chuki ilizaliwa na hiyo chuki haiwezi kuondoka mpaka watu wawajibike na haki ipatikane… Watu walipigwa risasi za vichwa, Nape anaongelea wanasiasa kupendanana badala ya haki kupatikana? Stupid kabisa. Sisi ndio tulifanya wanasiasa wachukiane mpaka wakamfunga Tundu Lissu?? Siss ndio tunafanya wanasiasa wa CCM wanaendelea kumshikilia Lissu? Chuki mmeijenga wenyewe kwenye nchi ila mnataka kulaumu wanaharakati? Yani wanasiasa matapeli wote wanachukia wanaharakati, yani wanaona kama vile tunawazibia kuendelea na uhuni wao. Inabidi wajue We are not going anywhere. WE ARE TO SYAY TO STAY, MPAKA HAKI IPATIKANE….
🧐 Si kwa ubaya ila kwanza Nape angefocus na afya yake something is not ok hapo - mambo ya wanaharakati angemwachia Kihongosi! Kwa kifupi si kila mwanaharakati ni mwanasiasa Ila mwanasiasa asiye mwanaharakati si mwanasiasa wa kweli bali mjasiriamali wa siasa So sisi wanaharakati lazima tuwavuruge na tuchukiwe na wajasirianali na madalali wa siasa #MimiMwanaharakatiNajivunia #FreeTunduLissu
28
86
1
540
33,011
Tanzanite retweeted
Replying to @Tanzaiite
@judiciarytz @bunge_tz @tanpol Ni majanga kwa Taifa la Tanzania, ni taasisi ambazo zinabariki na Ujangili na Uharamia
1
1
62
Tanzanite retweeted
Retard slow a$s B🤬ch
1
8
27
854
Tanzanite retweeted
Tunalaani hukumu ya kifungo cha miaka minne jela dhidi ya kiongozi wa upinzani na mtetezi wa haki za binadamu wa Tanzania, Tundu Lissu! Lissu, ambaye aliteuliwa na vikundi vya ECR na EPP kwa ajili ya Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Fikra ya mwaka 2026 (2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought), aliachiwa huru kwenye shtaka la uhaini lakini akapatikana na hatia ya uchochezi. Kikundi cha ECR kinasisitiza kuwa kuendelea kufungwa kwake hakukubaliki, hata kama hakabiliwi tena na adhabu ya kifo. Mwenyekiti Mwenza wa ECR @procaccininicola alisema: "Miaka minne bado ni miaka mingi sana. Tundu Lissu anapaswa kuwa huru. Hakuna mtu anayepaswa kupoteza miaka ya maisha yake kwa sababu tu ya kuwahoji walioko madarakani na kudai uchaguzi wa haki." Mwenyekiti Mwenza wa ECR @patrykjaki_official alisema: "Alinusurika kwenye risasi. Alinusurika uhamishoni. Sasa anasalia nyuma ya nondo kwa sababu za kisiasa. Hiyo siyo haki." Mbunge wa ECR @carlo.fidanza, aliyewasilisha jina la Lissu kwa ajili ya uteuzi huo, alisema: "Tulimteua Tundu Lissu kwa sababu alikataa kunyamazishwa. Hukumu ya leo inathibitisha kwa mara nyingine tena kwa nini suala lake ni la muhimu. Ulaya inapaswa kuendelea kudai kuachiliwa kwake." Mbunge wa ECR @kolsrihards, aliyeanzisha uteuzi huo kwa pamoja, alisema: "Huimariishi demokrasia kwa kuwafunga wapinzani wako. Unaiimarisha kwa kuwaruhusu wazungumze na kuandaa shughuli zao. Tundu Lissu anapaswa kuachiliwa na kuruhusiwa kurejea kwenye maisha ya kisiasa." Sincere thanks to the @davidmcallister @ecrgroup and @EPP groups for continuing to fight for justice and freedom for Tundu Lissu. Your voice matters immensely to us.🇹🇿
1
19
43
1,113
Hii ndio mindset serikali haram imewatengenezea vijana wa Tanzania na judgement ya jana. Na siongelei comment hii tu. Vijana wananifata DM na WhatsApp wanaomba niwa connect na Kagame au Kabila wa Congo. This is getting out of hand.
@MariaSTsehai yani @mangekimambi asipumzike kwa sasa sisi vijana wa tz tunataka tuunganishwe na @JKabilaKabange1 na @PaulKagame lazima tudili na ccm walitangaza wana miliki majeshe ss sisi wazalendo hatuna jeshi lazima tudili na majeshi ya ccm
31
119
2
808
59,276
‼️TUMFARIJI TUNDU LISSU‼️ Kila anayeweza AFIKE kwenye msiba na aende kwenye mazishi ya Mzee Alute kumwakilishi Lissu Tuseme kwa pamoja 👉🏽 I AM TUNDU LISSU “Mimi ni Tundu Lissu” Kushindwa kumzika mpendwa wako kwa kuzuiwa na mafedhuli inauma sana! Naongea nikijua uchungu huu! Lissu, Heche na wanachadema walinifariji sana walipoenda kufariji familia yangu na kumzika Baba yangu! Sitasahau upendo huu! (Isipokuwa mnafiki dalali Lema huyu ❌) Kwa sasa kila anayeweza, kila mtanzania asimame na Lissu na familia yake katika huu msiba! #FreeTunduLissu
22
210
1
968
17,520
Walichemka kuja wazima wazima sasa mama yao kawaumbua
Machawa mnasemaje.. Walicho kisema kilikua cha uongo, maana mlishadadia sana Mwisho wa siku mmebaki midomo wazi Hongera @HildaNewton21 @MariaSTsehai ✌️
1
14
67
3,357
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri. Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa video…..
76
295
3
2,569
94,048
History will remember you nicely. Defending human dignity knows no boundaries
1
20
76
3,216
Tanzanite retweeted
HALAFU NISIKIE POYOYO YOYOTE ANAMFANANISHA DADA YANGU @mangekimambi NA UPUUZI WENU
13
70
1
782
19,047
Replying to @Tanzaiite
YUDA wa MCHAME HANA MAPUMBU. Wallah!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾
1
2
61
Tanzanite retweeted
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa mabadiliko ya shauri la Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu, kutoka kesi ya uhaini aliyoiita ya kughushi hadi kesi ya uchochezi ni kiashiria cha siku ya ushindi kwa CHADEMA na Watanzania wote. Heche ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam mara baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kumhukumu Tundu Lissu kutumikia miaka minne jela kwa kosa la uchochezi. Heche ameongeza kuwa Lissu pamoja na viongozi wengine ni alama tu katika harakati hizo, na kwamba chama hicho kina viongozi wa kutosha kuendelea na mikakati yake bila kuyumbishwa.
6
69
2
509
17,954
FUCK YOU SAMIA SULUHU………… ILAANIWE SIKU ULIOZALIWA!!!!!
168
1,235
26
9,022
277,902