mujuri retweeted
Comrade nimeamka 7 nikaenda WiFi ya shule. Nimepaste namba kwa diyem ya watu kumi alafu nikarudi bed kuombea ijipe. Ni saa nane and still no response. Sai nko sure nakunywa maji for lunch. End game nitaona adi chief akiniambia congratulations kijana yangu. Masaa hizo nasikia kupasua simu but nawacha juu it's the only thing naeza tumia kusema Ruto Must Go! Mamae!
mujuri retweeted
Ugly boy from western ndio kutoka kuchukulia foreman OB juu aliingia nyasi na my hard earned money,jamaa anapigiwa simu anasema pesa haikutoka juu bossy alishikwa na CIA juu ya money laundering allegedly,machozi inajaa kwa macho nabaki nikijiuliza kwani mchumia juani anakula dust
Kuna siku mzae amesema sasa Wacha atutaftie inheritance hizo sides za Mau Narok, alikuwa ameamua Wacha anunue kashamba 5 acres itulie tu hapo tuta inherit akiacha kupumua mzae flani mkalee ndio alikuwa anamuuzia hiyo shamba Na tukaenda the whole family kubuy, everything was....
mujuri retweeted
Kupigwa heartbreak ukiwa kwa mzazi huwa very hard to heal.Unajaribu kutafuta space ya kuheal mama yako anakuita uoshe vyombo mara umpee remote.Kuna dem aliwahi niambia asubuhi ashaiamkia heartbreak text akiosha vyombo juu hawezi lia akionekana ikabidi aende baze ng'ombe zinalala sasa anapiga ng'ombe teke inalia mooooooo yeye pia anapiga nduru 😂😂ng'ombe ikinyamaza anaipiga tena na yeye anapiga nduru .. Hapana chesa na hii kitu inaitwa heartbreak😂😂
mujuri retweeted
Hapa locals wameweka pool tournament leo. To make matters worse, the owner of the club has decided to slaughter a free mbuzi for all players in the tournament. Boyfriend's Day ni mentality, stay guided! Manade!
mujuri retweeted
Weekend plans? 🚗
Make every trip easier with GO-WHEELS Car Hire.
Whether it’s a road trip, family outing, airport transfer or a weekend getaway, we have clean and reliable cars ready for you.
📞 0723 630 231 | 0793 373 705
📍 Kiambu Road
GO-WHEELS — Your Mobility Partner.
mujuri retweeted
Ugly broke ninja ndo najipindua in my 3 by 5 mattress ulimi. Shida ya mattress ulimi huwezi tumia kitanda juu utaamka kama uko na tattoo ya mbao kwa mgongo. Sasa mimi nimeitandaza chini. Foreman naye alisema nisirudi kazi leo ati nilimsalimia mama uji. Naangalia ceiling, miale ya jua inapitia mashimo iko kwa mabati. Ile stock ya ball gums nilikuwa nimenunua ati nitaziba nayo mashimo el nino ikikuja natafuna kama breakfast. Jehovah! Kwani sisi ndo tuliuwa kijana yako! Eloih! Eloih! Nijazie sahani!
mujuri retweeted
Yaani huyu ni vitabu kumi with this haircut alafu pia ongeza hapo hana vidole but he still bag baddies buana. Kwani what's not happening with me. Kijana unaona tu vizuri hadi sura ni ngumu kama uchumi ya hii inchi lakini still ngulusumu inawakunywa kuwakunywa mamae
Watu wanafaa kustudy game before diving into. Nliingia trap house na coolkids from old monied homes na let me tell you Maina, I saw bad things. Walikuwa wanacrack jokes alafu room mzima wanarespond na “crazy type shii”. Nlijaribu kusema “genje” baddies wakazunda tenje kwa jegz.
mujuri retweeted
Travel together. Arrive together.
Experience the convenience of our 8-seater automatic diesel self-drive vans, designed for comfort, reliability and space. Whether you're planning a family getaway, a corporate trip, a road adventure, or a special event, one vehicle is all you need.
At GO-WHEELS Car Hire, we make every journey effortless with well-maintained vehicles, flexible rental options and exceptional service.
Reserve your van today and travel with confidence.
GO-WHEELS – Your Mobility Partner.
📍 Kiambu Road
📞 Call/WhatsApp: 0723 630 231 | 0793 373 705
mujuri retweeted
A woman's world is an emotional world , the moment you let her drag you in there you will loose and even worse embarrass yourself. It's your responsibility to drag her into your logical world briefly show her some facts the allow her to go marinate in her own world . Good morning from ndeiyashire.
Kuna dem alihamia ploti yetu nikadhani ni mkubwa na alinidanganya ako second year TUM. Leo nimeona amevaa uniform, nikachunguza nikapata bado ni Form Four. Hapo nikajua siwezi harakisha mambo ngoja wakati ufaao. Ingekuwa si maombi ya mamangu 35 ilikuwa imepiga hodi
mujuri retweeted
Nimeamua kupeleka Tu kejani Bana nafanya marking nikitweet kiasi
Mnipee support Bana Bana nikimalizana na hizi staffs pia Mimi nitaengage


























