RamachaJR🇰🇪 retweeted
I might disagree with Miguna Miguna in many things but the way he is describing Patel is on spot muh guys,
A thug
Drug dealer
Drug taker
A criminal
.....
He has more tittles than his age number, that's Paul Jangili himself
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Replying to @LabanMbunya
Ndio tuuliwe tukose luvote 2027 tumpeleke nyumbani? No thank you!
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Sasa mluhya kwa username yako unaongeza 254 ndio nn ifanyike kwani kuna mzungu anaweza itwa wepukulu???wanyonyi??
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Omwamba you are a thief, umeiba pesa ya Morara Morara. Lisa deni wacha ufala. Your official name is Raymond Ondieki +254140342626.
Stop stealing from someone in prison. You are such a disgusting person.
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Cha kusikitisha zaidi ni kwamba wanajua kabisa unapitia wakati mgumu, lakini bado wanachagua kukunyamazia. Hapo ndipo unapojua kuwa si kila anayekuita rafiki yuko tayari kusimama nawe wakati wa shida.
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Radisha pesa ya Morara Morara. Wacha wizi. You also have a family. What will pass? We contributed so that Morara Morara atoke jail. We never contributed so that utumie hyo doh kulea watoto wako na Bibi yko. You should be ashamed of yourself. We are ready to involve the security organs
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Kwanza hiyo ya if education is the key 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
#MainaAndKingangi
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Austine Were acha tuingie class ya CPA (Classes of Prof Adwarf Hitler) kidogo hizi sides naona kabisa haushiki vitu.
Numero uno, hizi vitu unaweka hapo kwa if they were stripped ndo exact reasons tutamvotia. Na to be more precise, if today you were stripped off your njwang'a will you be having your kids rn? Answer ni no, sasa same ways hizo ndo duties na attributes za HE.
Numero mbwekse, the ignorance in your head ndo inafanya tunapush for constitutionalism sababu ona jibaba jizee halielewi the distinct roles of a senator. Sasa watu kama nyinyi tukishachukua serikali tutaweka nyinyi gumbaru ya katiba sababu hatutaki watu waslow wenye hawaelewi katiba in our country.
Numero utat, na hapa ndo nataka unishike msuri sababu sitajirudia, HE EDWIN WAKENYA SIXTHFUNA SHALL BE THE 6TH PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA WHETHERYOU NDIKNI OR YOU KINDNI. Hizo vitu zingine aki hatuskizi sisi.
Meanwhile geukia huyo bibi yako hapo umwambie WANTAM na jina usishughulike anajiita Sifuna mamae.
If Edwin Sifuna were stripped of his debating skills, political commentary and ODM leadership profile, what concrete achievements would Nairobi residents point to as evidence of his effectiveness as their senator?
Beyond the speeches, television appearances and viral political clips, what tangible difference has his tenure made in the lives of Nairobi residents?
Being a good debater is one thing. Delivering results for the people you represent is another.
Sifuna minions tupeni mawe😂😂
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Caleb Amisi alisahao kushift acc to pseudo aka tweet na main acc😂😂😂 limauuuu , sifuna amefanya siasa ikakua ngumu
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Niko na swali, dem akikuambia anaumwa na cramps as a man huwa unafaa kujibu aje?? 😂
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Long distance alinicon 4k last month in the name of 'nitumie nitakurudishia'. Sasa, leo amenitumia 3500 nimchukulie mzigo hapa town nikamwambia kama anataka mzigo anilipe pesa yangu kwanza. Naona pale green app bado anatuma 'rada?'. I've been too good hadi haamini nimejilipa.😂😂
RamachaJR🇰🇪 retweeted
Replying to @edwinsifuna
Babangu ako huko lkn omwami akisema wafutwe acha wafutwe😂😂



























